Nimekereka sana gomes kuanza alaf rakitic anabaki njee yaani hapa mijitu inanitemea mimate tu aghh ushabiki huu mtaa mzima umehamia kwangu....naona ya Bayern yanataka kurudi
bora tungempandisha Eusebio timu ya wakubwa na kama Lucho anampenda sana Gomes ajue ataondoka naye. leo Sergio na Gomes ni kama hawakuwepo. jamaa utafikiri walituzidi watu wawili! kwa utepetevu wa roberto ni bora tujaribu 3-4-3. vinginevyo huu msimu tutakuwa na hali ngumu.we need team transformation lucho tunakupenda sana lakini naona tunaelekea tamati ,team tangu msimu umeanza haina harmony ya ku press mipira iinstead individual talents ndio zinatumika kuna haja ya Pap arudin aje astaafie pale
Mchepuko umeniangusha lol,only me Man Utd anaeiappreciate Barca.Usikimbie kamati ya ufundi wanakuhitaji
jamaa watu wanamstahi sababu timu huwa inakaza. lakini hana mbinu za kufaa timu kubwa kama yetu. lakini mambo bado maana sisi ni mabingwa wa visasi. celta msimu jana alitupiga nne marudio tukamla sita. na Alves naye juzi. it's not over till it's over. ngoja tujiliwaze na hili song.kocha amekua kama Mourinho kipindi kile chelsea hana first eleven hadi leo Enrique this season sasa unaliingiza lile Robot Andres Gomes na kumuacha Rakitic halafu tunaruhusu adui awe na mpira na kuruhusu mipira ya kupenya mingi kweli?huyu S Roberto hadi leo kwanini uwe na imani nae wakati umemjaribia sana hii namba haiwezi kuicheza hii ni sawa?tumefungwa kwa sababu za kiufundi yaani ni kocha