FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca be like

16729232_702233589954063_955748286645029616_n.jpg
 
we need team transformation lucho tunakupenda sana lakini naona tunaelekea tamati ,team tangu msimu umeanza haina harmony ya ku press mipira iinstead individual talents ndio zinatumika kuna haja ya Pap arudin aje astaafie pale
bora tungempandisha Eusebio timu ya wakubwa na kama Lucho anampenda sana Gomes ajue ataondoka naye. leo Sergio na Gomes ni kama hawakuwepo. jamaa utafikiri walituzidi watu wawili! kwa utepetevu wa roberto ni bora tujaribu 3-4-3. vinginevyo huu msimu tutakuwa na hali ngumu.
 
Gomez yan anacheza kama robot, mchezaji hanyumbuliki akipata anatoa pasi ya nyuma, hana ata akili ya penetration pass. Barca kuna wachezaji mizigo kwenye big match huwezi ukawaamini watu kama Gomez. Denis Suarez, Paco, sergio na alcantara.
 
kocha amekua kama Mourinho kipindi kile chelsea hana first eleven hadi leo Enrique this season sasa unaliingiza lile Robot Andres Gomes na kumuacha Rakitic halafu tunaruhusu adui awe na mpira na kuruhusu mipira ya kupenya mingi kweli?huyu S Roberto hadi leo kwanini uwe na imani nae wakati umemjaribia sana hii namba haiwezi kuicheza hii ni sawa?tumefungwa kwa sababu za kiufundi yaani ni kocha
jamaa watu wanamstahi sababu timu huwa inakaza. lakini hana mbinu za kufaa timu kubwa kama yetu. lakini mambo bado maana sisi ni mabingwa wa visasi. celta msimu jana alitupiga nne marudio tukamla sita. na Alves naye juzi. it's not over till it's over. ngoja tujiliwaze na hili song.

 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom