FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu cku zote huwa nnasema hum ndan s.roberty c wakumlaum..ckuwah kuona mild field dunian akibadilishwa number na kuchezeshwa fullback labda kama n wing.
 
Kwa sasa anaeheshimika zaidi ni Ramos
Mkuu n watu wa ajabu sana kufanya comparison ya Hao wawil...Iniesta tyar n mkongwe....umr umeenda sana... So huyo n wakucheza 10 to 15 min. According to the match...
 
Mkuu cku zote huwa nnasema hum ndan s.roberty c wakumlaum..ckuwah kuona mild field dunian akibadilishwa number na kuchezeshwa fullback labda kama n wing.
Mkuu kimsingi saizi hatuna timu, ukiacha wale wa tatu wa mbele pale huku kwingine tunaunga unga sana hususani kwenye midfielder
 
Mkuu kimsingi saizi hatuna timu, ukiacha wale wa tatu wa mbele pale huku kwingine tunaunga unga sana hususani kwenye midfielder
Mkuu team bado tunayo icpokua kocha ndo tatzo...and.Gomez,Paco na Mathew ndo vimeo... Sasa cjui umetumia kigezo gan kusema kua hatuna team...
 
Mkuu team bado tunayo icpokua kocha ndo tatzo...and.Gomez,Paco na Mathew ndo vimeo... Sasa cjui umetumia kigezo gan kusema kua hatuna team...
Hatuwezi sema tuna team kama kuna baadhi ya idara hazija kamilika kama coaching staff na hao wachezaji
 
Unakumbuka bayern alichowafanya 2013....First leg kawagonga 4-0 pale allianz arena..Second leg oh sijui messi mara ooh tutakua Nou Camp na bado mkagongwa 3-0....Aggregate score 7-0...Subirini kombe la mfalme ndo ushauri wangu...
Messi alicheza CAMP NOU??
 
Tushawaazoea hata huo mwaka mlisema Barca kali ni ile ya Dinho pia msimu ujao mtasema Barcelona kali ni ya mwaka jana iliyompiga PSG 7
 
Remuntada naona kama impossible kwa sababu psg nao hawatakaa wawaangalie tu barcelona Nou Camp hiyo itakuwa ni vita ya msituni.
 
Reactions: PNC
PSG ni miongoni mwa timu zisizoaminika kama Arsenal inapokuja suala la marudio na Barca
But time is the good teacher
 
Uwezekano wa Barcelona kumtoa PSG ni sawa na uwezekano wa kwenda zanzibar kwa gari
 
Duuuh kumbe mgonjwa hakufa kabisa na daktari ( mashabiki ) anasema mgonjwa anaweza poa akipelekwa Camp Nou hosp..
 
Guys trust me we gonna come up camp Nou haya tunayoyazungumza wachezaji na management yameshayaona inawezekana Enrique end of season kwaheri...hr is boring for sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…