FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

bora tungempandisha Eusebio timu ya wakubwa na kama Lucho anampenda sana Gomes ajue ataondoka naye. leo Sergio na Gomes ni kama hawakuwepo. jamaa utafikiri walituzidi watu wawili! kwa utepetevu wa roberto ni bora tujaribu 3-4-3. vinginevyo huu msimu tutakuwa na hali ngumu.
Mkuu cku zote huwa nnasema hum ndan s.roberty c wakumlaum..ckuwah kuona mild field dunian akibadilishwa number na kuchezeshwa fullback labda kama n wing.
 
Kwa sasa anaeheshimika zaidi ni Ramos
Mkuu n watu wa ajabu sana kufanya comparison ya Hao wawil...Iniesta tyar n mkongwe....umr umeenda sana... So huyo n wakucheza 10 to 15 min. According to the match...
 
Mkuu cku zote huwa nnasema hum ndan s.roberty c wakumlaum..ckuwah kuona mild field dunian akibadilishwa number na kuchezeshwa fullback labda kama n wing.
Mkuu kimsingi saizi hatuna timu, ukiacha wale wa tatu wa mbele pale huku kwingine tunaunga unga sana hususani kwenye midfielder
 
Mkuu kimsingi saizi hatuna timu, ukiacha wale wa tatu wa mbele pale huku kwingine tunaunga unga sana hususani kwenye midfielder
Mkuu team bado tunayo icpokua kocha ndo tatzo...and.Gomez,Paco na Mathew ndo vimeo... Sasa cjui umetumia kigezo gan kusema kua hatuna team...
 
Mkuu team bado tunayo icpokua kocha ndo tatzo...and.Gomez,Paco na Mathew ndo vimeo... Sasa cjui umetumia kigezo gan kusema kua hatuna team...
Hatuwezi sema tuna team kama kuna baadhi ya idara hazija kamilika kama coaching staff na hao wachezaji
 
Unakumbuka bayern alichowafanya 2013....First leg kawagonga 4-0 pale allianz arena..Second leg oh sijui messi mara ooh tutakua Nou Camp na bado mkagongwa 3-0....Aggregate score 7-0...Subirini kombe la mfalme ndo ushauri wangu...
Messi alicheza CAMP NOU??
 
Zamani tulikuwa tukienda kuangalia game ya barcelona mpira ukianza tu unaskia hivi pique.. Alves!! Alves.. Xavi!! Xavi to Iniesta iniesta to messi! Messi back to Iniesta!! Iniesta to Pedro now it's messi again...Messsiiii. pepe! Khedira! Khedira lose the possession to Busquets!! Busquets to Xavi!! Xavi!! Pedro!! Pedroooo!!

Yaani majina ya wachezaji wa barcelona unayasikia mara kumi wakati huo majina ya wapinzani wanaocheza nao unaskia mara moja au mara mbili tu utafikiri barca wanacheza peke yao.. Ninachotaka kusema ni hivi barcelona hii ya sasa ambayo midfield yake inawekwa mfukoni na watoto wadogo kama Verrat na Rabiot sio ya kufanya maajabu hayo unayosema!! Barca ya kufanya hivyo ilikuwa ni ileeee ya gadiola(2009-2012) ile ambayo timu zilikuwa zinafanya kila liwezekanalo ziongoze kundi hili kuepuka kupangwa nayo hatua kama hii.

Hii barca ya sasa hivi ni MSN tu huku pengine pote pa kawaida sana na pakishikwa tu hata hiyo MSN inakuwa ni toothless kama ilivyokuwa jana.
Tushawaazoea hata huo mwaka mlisema Barca kali ni ile ya Dinho pia msimu ujao mtasema Barcelona kali ni ya mwaka jana iliyompiga PSG 7
 
01a253deb80ce7ef19a3c50bbd88fd98.jpg
53446417c0d3bf86f9c98a94d1967173.jpg

Remuntada naona kama impossible kwa sababu psg nao hawatakaa wawaangalie tu barcelona Nou Camp hiyo itakuwa ni vita ya msituni.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
PSG ni miongoni mwa timu zisizoaminika kama Arsenal inapokuja suala la marudio na Barca
But time is the good teacher
 
Uwezekano wa Barcelona kumtoa PSG ni sawa na uwezekano wa kwenda zanzibar kwa gari
 
Duuuh kumbe mgonjwa hakufa kabisa na daktari ( mashabiki ) anasema mgonjwa anaweza poa akipelekwa Camp Nou hosp..
 
Guys trust me we gonna come up camp Nou haya tunayoyazungumza wachezaji na management yameshayaona inawezekana Enrique end of season kwaheri...hr is boring for sure
 
Back
Top Bottom