siyo tu kuzoea, ushindi ni haki yetu. tukidraw au kufungwa tunakuwa tumenyimwa haki yetu. ila huu mpira wa kucheza kama wabibi unanikera sana.Kidogo leo nilale na stress better Neyma and Messi mmeniokoa daaah mtaniua kwa Pressure tumezoea ushindi sisi sio Asernal aisee
Mkui mbinu za kocha yaani we acha tu Lucho anatuumiza sanasiyo tu kuzoea, ushindi ni haki yetu. tukidraw au kufungwa tunakuwa tumenyimwa haki yetu. ila huu mpira wa kucheza kama wabibi unanikera sana.
Lucho Lucho hope 2 weeks to come kuna mabadiliko wameletwa ma trainer wa workouts wapya[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hii ya leo kali
Ila siyo mbaya kwa kweli droo ilikuwa ina waumiza majirani tunapenda na nyie muwe na utulivu kdogo.
Ila this is one of the poorest barca may be in last 8 years
mambo yatakuwa magumu sana next week. mi nimeshachoka kuzungumzia mpira wa Gomes. hana amshaamsha. nafikiri dennis ndiyo angekuwa anapewa muda zaidi.Tim yetu imekosa viungo kabsa yaani washambuliaji mpaka waje wautafute mpira next game tunacheza atletico madrid shame on us
fafanua bro!Lucho Lucho hope 2 weeks to come kuna mabadiliko wameletwa ma trainer wa workouts wapya
HahahaLucho Lucho hope 2 weeks to come kuna mabadiliko wameletwa ma trainer wa workouts wapya
mambo yatakuwa magumu sana next week. mi nimeshachoka kuzungumzia mpira wa Gomes. hana amshaamsha. nafikiri dennis ndiyo angekuwa anapewa muda zaidi.
Nyie ma bro acheni uoga Atletico nao siyo wazuri ki hiivoTim yetu imekosa viungo kabsa yaani washambuliaji mpaka waje wautafute mpira next game tunacheza atletico madrid shame on us
umesikia kuwa Hamsik na Insigne wanatupia huko Napoli?Nyie ma bro acheni uoga Atletico nao siyo wazuri ki hiivo
Haitakiwi mfungwe. Kwa kweli
hii list peke yake ndiyo inavutia.
Hahahaumesikia kuwa Hamsik na Insigne wanatupia huko Napoli?
naona karata kubwa ipo kwa Jorge Sampaoli wa Sevilla. jamaa ni bonge la tactician. jamaa ana historia nzuri sana. Eusebio ni mzuri lakini walimtimua sababu barca B ilikua inazingua. sampaoli ni moja ya makocha bora kwa sasaDNA ya Barcelona ni high pressing ,Guardiola aliijenga Barca kwa misingi ya Cruyff timu ikipoteza pass ndani ya Sekunde inarudi kwenye himaya ,Barca inaundwa na viungo 3 na siyo washambuliaji
Barca hii haifanyi pressing ,midfield ipo slow ,na Barca hii ikikutana na timu inayo press inapata tabu sana refer game ya Betis,sociedad anoeta,ATM sec leg,nk
Viungo wanazingua haswa Rakitic footwork yake mbovu ,Gomes sijui kakumbwa na nini huyu..
Endapo Luis Enrique asipo saini
Basi Eusebio Sacristan kocha wa Sociedad ana nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ,kwanza ni mwanafunzi wa Cruyff, amekaa Barca muda mrefu ,falsafa yake ni pressing sana,na tiki taka kaibadilisha sana real sociedad na malegends wanampigia chapuo ..mie naona sacristan anafaa kuchukua post na ana nafasi kubwa ..koe man ,sampaoli sidhani
Barca hii miyeyusho sana na Enrique ni chanzo timu inacheza pass nyingi backline kuliko kwenye kiungo huku akitegemea MSN
PSG wakifanya pressing nou camp Barca hatoki ,kiungo cha Barca haiwezi kuhimili pressing
Huyu jamaa natamani hata kesho wamuondoe we mpira gani wa kuchezewa/kukabiwa golini kwetu haende tuuu hakuna namnaDNA ya Barcelona ni high pressing ,Guardiola aliijenga Barca kwa misingi ya Cruyff timu ikipoteza pass ndani ya Sekunde inarudi kwenye himaya ,Barca inaundwa na viungo 3 na siyo washambuliaji
Barca hii haifanyi pressing ,midfield ipo slow ,na Barca hii ikikutana na timu inayo press inapata tabu sana refer game ya Betis,sociedad anoeta,ATM sec leg,nk
Viungo wanazingua haswa Rakitic footwork yake mbovu ,Gomes sijui kakumbwa na nini huyu..
Endapo Luis Enrique asipo saini
Basi Eusebio Sacristan kocha wa Sociedad ana nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ,kwanza ni mwanafunzi wa Cruyff, amekaa Barca muda mrefu ,falsafa yake ni pressing sana,na tiki taka kaibadilisha sana real sociedad na malegends wanampigia chapuo ..mie naona sacristan anafaa kuchukua post na ana nafasi kubwa ..koe man ,sampaoli sidhani
Barca hii miyeyusho sana na Enrique ni chanzo timu inacheza pass nyingi backline kuliko kwenye kiungo huku akitegemea MSN
PSG wakifanya pressing nou camp Barca hatoki ,kiungo cha Barca haiwezi kuhimili pressing
Yaaani team hii imekuwa team myeyushoHuyu jamaa natamani hata kesho wamuondoe we mpira gani wa kuchezewa/kukabiwa golini kwetu haende tuuu hakuna namna