Karibu Nou Camp...hongereni sana, sikutegemea haya matokeo.
Camp nou Time huwa inaenda slow. ni kama kwenye ile movie ya inception. Neymar alikuwa serious sana jana. Barca mechi za karibuni imekuwa bora sana.
Decisive game wanakua makini sana hata Neyma utoto anauacha sana !!ile free kick nili predict ni goal aliipiga kama ile juzi unakumbuka celta alivyowaua?Camp nou Time huwa inaenda slow. ni kama kwenye ile movie ya inception. Neymar alikuwa serious sana jana. Barca mechi za karibuni imekuwa bora sana.
View attachment 478409
Well said Verrati,kijana mwenye dream yakuchezea barca ,tutaangalia kati yake na Dyabala nani atafaa end of season hata Isco pia asipoweka clause yakuzuia asihamie Barca Perez
naikumbuka. alivyoipiga nikaikumbuka ile free kick.Decisive game wanakua makini sana hata Neyma utoto anauacha sana !!ile free kick nili predict ni goal aliipiga kama ile juzi unakumbuka celta alivyowaua?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Barcelona sio watu wa mchezomchezoDu sijawahi ona namshukuru Mungu kushuhudia tukio hili pengine wote tulioshuhudia tumesamehewa dhambi nikiri wazi wazi barca hatari.
Daaaah
Huu ni usenge sasa
Nelekea kongo
Mnapotea mkimkimbiza Luismatumaini ya kumpata verrati yamefufuka. media zilikuwa zinasema tungetolewa asingeona umuhimu wa kuja. Isco wamesema anauzwa Euro 30m. iwapo tutachukua treble itabidi tutafute RB tu wakumsaidia Vidal. ila mengi yanategemea kocha mpya.
ameshatangaza kuondoka,hamna jinsi.Mnapotea mkimkimbiza Luis
Kama kataka mwenyewe sawa.kocha wangu yule.naishabikia barca kwa ajili yake.ameshatangaza kuondoka,hamna jinsi.
Mkuu nakusalimia tu habari yakoWashikaji leo ni siku ya bahati sana Mungu amenionyesha kwa mifano thats why Barcelona ataisimamisha dunia
ah mie niko kwa Cr7.Karibu Nou Camp...
Salama mkuu sijalala tangu juzi natembea na bendera ya visca barca barabarani wananiona kama kichaa huku mtaaniMkuu nakusalimia tu habari yako