Kumbe ndio maana dogo tunataka kumchukua anataka kutuadhibu?
Cant be
si ana kabwa!!!Neyma hayuko form sijui kwa nini
bado sanaa hiiiMatch bado sana kujudge ushindi
Bado naimani Barca anashinda
Hahaaaa afadhari unalitambua hilo mkuu hapo kwetu nikama tunaongoza hivimajirani kama mlirudisha 4 naamini 2 kwenu ni sawa na 0-0
sio kwa ukuta wa juventusmajirani kama mlirudisha 4 naamini 2 kwenu ni sawa na 0-0
hahahahaaHahaaaa afadhari unalitambua hilo mkuu hapo kwetu nikama tunaongoza hivi