FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kumbe ndio maana dogo tunataka kumchukua anataka kutuadhibu?
Cant be
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jumba linaungua, so far Barca hawana hata shuti moja kwenye target
 
Left wing imekufa kabisa leo halafu jamaa wamejaa sana wanakaba ,nice decision tutumie right wing
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Match bado sana ,tatizo Barca tukucheza tunacheza na dunia nzima kelele nyingi sana
 
Team Barca Mentality kubwa....we come back in second half
Uwanja wa ugenini lazima uwe mshamba kidogo
 
Back
Top Bottom