ngoja ngoja kwanza tuonesio kwa ukuta wa juventus
Hapana mkuu magoli yote ni uwezo tu binafsi sioni jipya la hawa Juventus ,ngoja tuwaonyeshe football 2nd halfHii timu inatakiwa ifanyiwe reforms,nyuma,kipa na viingo wa kati
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]I dare to say magoli yote sio kama yamefungwa kwa uzembe la hasha but ni uwezo binafsi wa Dyabala sioni Juventus wanachocheza zaidi ya kukaba tu ,yaani wana small team mentality wanakaba uwanja wa kwao sasa sijui ugenini watafanya nini shame this is totally unfootball
Ni kweli mkui lakini hadi mtu aonyeshe uwezo means kuna uzembe ktk kukaba,angali barca kuna mess,neyma suarez wote ni wazuri bit hawajaonyesha uwezo wao sababu juve wanacheza vzr hawawapi nafasi ya kufanya hvyo!Hapana mkuu magoli yote ni uwezo tu binafsi sioni jipya la hawa Juventus ,ngoja tuwaonyeshe football 2nd half
Mkuu juve wanacheza kwa displin sana...barca nyuma tunazengua... Tumefungwa magol ya Aina moja..unmarked player ndo katuuaHapana mkuu magoli yote ni uwezo tu binafsi sioni jipya la hawa Juventus ,ngoja tuwaonyeshe football 2nd half
Sio kweli mkuu nakukatalia ,Juve wanacheza so defensive (deep) wakifunguka wanajijua udhaifu wao ,game kama hivi hauwezi kucheza away mark my wordMkuu juve wanacheza kwa displin sana...barca nyuma tunazengua... Tumefungwa magol ya Aina moja..unmarked player ndo katuua
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
3-0Sio kweli mkuu nakukatalia ,Juve wanacheza so defensive (deep) wakifunguka wanajijua udhaifu wao ,game kama hivi hauwezi kucheza away mark my word