FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

I dare to say magoli yote sio kama yamefungwa kwa uzembe la hasha but ni uwezo binafsi wa Dyabala sioni Juventus wanachocheza zaidi ya kukaba tu ,yaani wana small team mentality wanakaba uwanja wa kwao sasa sijui ugenini watafanya nini shame this is totally unfootball
 
  • Thanks
Reactions: PNC

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
jiranj utalalamiakaje teknik za mwenzio!!!?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hapana mkuu magoli yote ni uwezo tu binafsi sioni jipya la hawa Juventus ,ngoja tuwaonyeshe football 2nd half
Ni kweli mkui lakini hadi mtu aonyeshe uwezo means kuna uzembe ktk kukaba,angali barca kuna mess,neyma suarez wote ni wazuri bit hawajaonyesha uwezo wao sababu juve wanacheza vzr hawawapi nafasi ya kufanya hvyo!
 
Mkuu juve wanacheza kwa displin sana...barca nyuma tunazengua... Tumefungwa magol ya Aina moja..unmarked player ndo katuua

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Sio kweli mkuu nakukatalia ,Juve wanacheza so defensive (deep) wakifunguka wanajijua udhaifu wao ,game kama hivi hauwezi kucheza away mark my word
 
Ila mabeki wangu marking ya corner ,mipira ya juu tuko weak sana
 
Back
Top Bottom