BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Aaaah wapi [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Barca kam mnyama ni mbogo anapojeruhiwa utaijua tu shughuli yake
naona mmeamua kukariri kabisa!Barca kam mnyama ni mbogo anapojeruhiwa utaijua tu shughuli yake
Juventus sio PSGyeah it will be easy win to you guys
Hata Neymar ni wa kawaida tuUkimtoa SUAREZ, NEYMAR, MESSI, INIESTA.... waliobaki ni wachezaji wa kawaida sana
nakusalimia rafiki [emoji23][HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Barcelona#
[HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Barcelona#
[HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Barcelona#
aaah! ni kweli hata mmi najua hiloSINQ WASIWASI NAIAMINI BARCELONA
hapana nyie mna such shyte players.Gomes kajitahidi ila nahisi angeingia Alba kisha Roberto ndiyo angeenda kuwa kiungo wa nne. lakini hawa camp nou tunawakalisha. mtu mzima Busketi akikaa kati mambo yanakuwa mazuri. ila style ya kuweka beki nne inatucost sana. [HASHTAG]#vivabarca[/HASHTAG]
mi kila siku nasema timu siyo mbovu, kocha ndiyo mbovu. tuna RB mbovu lakini ni MD mzuri sana. kwanini ung'ang'anie kuwa na mabeki wa4. karibu mechi zote tulizochezesha mabeki 3 na viungo wa4 tumeshinda, tena goli nyingi. ya mwisho sevilla kala 4-2. lucho atakuwa na mtindio wa ubongo.hapana nyie mna such shyte players.
toka weeekend nakwambia timu yenu ni mbovu kwa sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mi kila siku nasema timu siyo mbovu, kocha ndiyo mbovu. tuna RB mbovu lakini ni MD mzuri sana. kwanini ung'ang'anie kuwa na mabeki wa4. karibu mechi zote tulizochezesha mabeki 3 na viungo wa4 tumeshinda, tena goli nyingi. ya mwisho sevilla kala 4-2. lucho atakuwa na mtindio wa ubongo.
kesho ukipigwa nyingi na Bayern huwezi pata nguvu za kuja.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaan nimeshindwa hata kukujibu kwa hoja
ntakuja kesho