Baka itagongwa 3-0 leo
Yametimia[emoji1] [emoji1] na huu ndiyo utakua mwisho wa safari yenu mbeleko fc
Endelea kujichekesha Juventus sio wasindikizaji kama PSG,na hii,Barcelona ya sasa ni mbovuThis is the worst comment in football this year damn [emoji23][emoji23][emoji6][emoji6]
Wacha tu washikishwe adabu hawa miteteaYametimia
Wewe sio shabiki wa Barca umejuaje kama mbovuEndelea kujichekesha Juventus sio wasindikizaji kama PSG,na hii,Barcelona ya sasa ni mbovu
swali ninalojiuliza hivi Mathiew na Gomes wamempa nini Enrique hadi hajielewi?mi kila siku nasema timu siyo mbovu, kocha ndiyo mbovu. tuna RB mbovu lakini ni MD mzuri sana. kwanini ung'ang'anie kuwa na mabeki wa4. karibu mechi zote tulizochezesha mabeki 3 na viungo wa4 tumeshinda, tena goli nyingi. ya mwisho sevilla kala 4-2. lucho atakuwa na mtindio wa ubongo.
We waache match nimeangalia kuanzia dk ya 0-90 sijatoa comment yeyote ya kubebwa kwa Juventus huu ni ushahidi tosha sisi ni mashabiki wa kweli wa footballJANA JUVE KABEBWA ILA .WATU KIMYA NA REFA NI MZURI
ILA WAKIJA NYUMBANI WAKISHUGHULIKIWA MNAANZA KELELE TUMEBEBWA
Tunawataka Bayern SEMI FINAL
Poleni jamani.
Kale katoto kao mkachukue tu,kamefanya makusudi mkaone maana kalikamia sana hii mechi.
Watu wamesoma ujanja wenu tayar, hyo cku ni full vitasa hatapenalt hampati.Hao ma kima juventus tunawasubiri Camp Nou (machinjiioni) kama Psg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaan nimeshindwa hata kukujibu kwa hoja
ntakuja kesho
aaahUmefurahiiiii. Subiri camp nou utaona mana hamuchelewi kusema tunabebwa. Juve nawapenda.ila mwisho wao umewadia ndani ya nou camp. Trust me
aaah
ni kweli hasa refa akisha wapa penat 2 mta pita tena.
ila ipo siku mpira utawafundisha kuwa nyie ni tim mbovu