Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
hahahaMie nataka wapigwe
aaaah
leo waachie
jumatano wana toka, Juma mosi elclasico ina maliza msimu wao, wakachukue kombe la mbuzi de la rey
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaMie nataka wapigwe
Game over 3-2 ,point tatu muhimu tayari tunazimisha safari yenu ya ushindi next weekendhahaha
aaaah
leo waachie
jumatano wana toka, Juma mosi elclasico ina maliza msimu wao, wakachukue kombe la mbuzi de la rey
sasaGame over 3-2 ,point tatu muhimu tayari tunazimisha safari yenu ya ushindi next weekend
walinzi wetu na wa madrid wapi wabovu?sasa
hii timu yenu mbovu
mwakani nunueni defenders hata kipa mkipata mpya ita faa
mwaka huu mtabeba CDR bas!!
madrid walinzi sio wabovu ika hatuna sustainability, injuries za mabeki ni nyingi.walinzi wetu na wa madrid wapi wabovu?
Ha ha we jidanganyesasa
hii timu yenu mbovu
mwakani nunueni defenders hata kipa mkipata mpya ita faa
mwaka huu mtabeba CDR bas!!
haya tuonane, jumatano na jumapili utaona yanayo tokea na beki wenu Sergi [emoji2]Ha ha we jidanganye
Game over 3-2 ,point tatu muhimu tayari tunazimisha safari yenu ya ushindi next weekend
mpaka sasa tumefungwa goli 30 na nyie 33. hapo sijui nani wabovu. usiongelee injuries, kwetu vidal yuko nje msimu karibu wote. ukifanya analysis utagundua tumewazidi kiubora karibu nyanja zote. tumefunga goli 91 nyie mmefunga 82 tu. cheki na hapa.madrid walinzi sio wabovu ika hatuna sustainability, injuries za mabeki ni nyingi.
pia mifumo ya zidane ina hitaji kuwa na ma DM waziti na niw tim ina ukosefu wa defensive midfielders wazuri ni tatizo.
sasa tukija kwenu mna mabeki waboovuu na squad ndogoo, watu 7 wanategemea watu wa 3.
beki yenu hata Wenger haez ikubali
we jidanganye tuWe shabiki mpya wa Barcelona unachonga sana.
kwa record hizi penaldo kwenye mbio za pichichi tunamtoa kabisa tutawaweka ma best(M.S) na Cavani kule Francempaka sasa tumefungwa goli 30 na nyie 33. hapo sijui nani wabovu. usiongelee injuries, kwetu vidal yuko nje msimu karibu wote. ukifanya analysis utagundua tumewazidi kiubora karibu nyanja zote. tumefunga goli 91 nyie mmefunga 82 tu. cheki na hapa.
View attachment 496617
mpira wa asili ni wine ,ila kule kwa mzee wa gym penaldo nampa msimu mmoja tu na nasikia habari za ndani wameshaanza wachezaji wenzake kumuambia kiwango kimeshukaCongrats EL BLAUGRANA kwa ushndo wa 3 na ku2patia 3 points.
Messi baba ucstaafu mpaka ufikishe miaka 60.
Mie nataka wapigwe
mpira wa asili ni wine ,ila kule kwa mzee wa gym penaldo nampa msimu mmoja tu na nasikia habari za ndani wameshaanza wachezaji wenzake kumuambia kiwango kimeshuka
sasa
hii timu yenu mbovu
mwakani nunueni defenders hata kipa mkipata mpya ita faa
mwaka huu mtabeba CDR bas!!
hahaha
aaaah
leo waachie
jumatano wana toka, Juma mosi elclasico ina maliza msimu wao, wakachukue kombe la mbuzi de la rey
Red giant, unatumia data lakin ujue kutafsiri data pia, wakati sisi tumefungwa magoli hayo 33 tumefunga magoli 82 tu, nyie mmefungwa magoli 30 ila mmefunga magoli 91 sasampaka sasa tumefungwa goli 30 na nyie 33. hapo sijui nani wabovu. usiongelee injuries, kwetu vidal yuko nje msimu karibu wote. ukifanya analysis utagundua tumewazidi kiubora karibu nyanja zote. tumefunga goli 91 nyie mmefunga 82 tu. cheki na hapa.
View attachment 496617
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakushauli 2lia kwanza round ya pili ipite au siyo?. Mlivyo na wachezaji choka mbaya so ucjipe matumaini sana kama mtapita.