FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Boxer na wenziye😀
hahaha
hujaingalia Madrid muda mrefu, wakat Ronaldo kapunguza kufunga mpaka sasa Madrid kila mchezaji asha funga goli, mpaka contreao, hatutegemi mtu mmoja now tuna cheza kitim wakat nyie watu 8 wanategema watu wa 3
 
Screenshot_2017-04-17-15-24-10.png

Here we go game imeshachezwa watachezea goli 5 Juventus ,wameshaanza kulia lia wanatamani ingekua kwenye uwanja wao small unabeba watu 40000 na wa kwetu kama kawaida 99,354 spectators wakinguruma kama simba yupo chini ya uvungu wa kitanda
 
Je unatambua?Messi hajawahi kupoteza match ya champions league Camp Nou tangu mwaka 2009?ungana nasi J5 together we can do it [HASHTAG]#Ramontada[/HASHTAG]

Screenshot_2017-04-17-18-25-19.png
 
Back
Top Bottom