FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Game over 3-2 ,point tatu muhimu tayari tunazimisha safari yenu ya ushindi next weekend
sasa
hii timu yenu mbovu
mwakani nunueni defenders hata kipa mkipata mpya ita faa

mwaka huu mtabeba CDR bas!!
 
Reactions: PNC
walinzi wetu na wa madrid wapi wabovu?
madrid walinzi sio wabovu ika hatuna sustainability, injuries za mabeki ni nyingi.

pia mifumo ya zidane ina hitaji kuwa na ma DM waziti na niw tim ina ukosefu wa defensive midfielders wazuri ni tatizo.

sasa tukija kwenu mna mabeki waboovuu na squad ndogoo, watu 7 wanategemea watu wa 3.

beki yenu hata Wenger haez ikubali
 
Reactions: PNC
mpaka sasa tumefungwa goli 30 na nyie 33. hapo sijui nani wabovu. usiongelee injuries, kwetu vidal yuko nje msimu karibu wote. ukifanya analysis utagundua tumewazidi kiubora karibu nyanja zote. tumefunga goli 91 nyie mmefunga 82 tu. cheki na hapa.

 
kwa record hizi penaldo kwenye mbio za pichichi tunamtoa kabisa tutawaweka ma best(M.S) na Cavani kule France
 
Congrats EL BLAUGRANA kwa ushndo wa 3 na ku2patia 3 points.

Messi baba ucstaafu mpaka ufikishe miaka 60.
mpira wa asili ni wine ,ila kule kwa mzee wa gym penaldo nampa msimu mmoja tu na nasikia habari za ndani wameshaanza wachezaji wenzake kumuambia kiwango kimeshuka
 
mpira wa asili ni wine ,ila kule kwa mzee wa gym penaldo nampa msimu mmoja tu na nasikia habari za ndani wameshaanza wachezaji wenzake kumuambia kiwango kimeshuka

Huyo hana lolote la kumzidi king, wataachaje kumpa ukweli m2 anavuruga kila cku. huyo ni mzigo pale
coni anachokifanya zaidi ya kush2ash2a mabeki na kujiangusha ili apate penalties.

Messi ndiye baba wa soka kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka ,waliobakia ni wanafunzi wake na wataendelea kuwa wanafunzi.
 
sasa
hii timu yenu mbovu
mwakani nunueni defenders hata kipa mkipata mpya ita faa

mwaka huu mtabeba CDR bas!!

Nakushauli 2lia kwanza round ya pili ipite au siyo?. Mlivyo na wachezaji choka mbaya so ucjipe matumaini sana kama mtapita.
 
Red giant, unatumia data lakin ujue kutafsiri data pia, wakati sisi tumefungwa magoli hayo 33 tumefunga magoli 82 tu, nyie mmefungwa magoli 30 ila mmefunga magoli 91 sasa

tuje kwenye matokeo, nyie mmefungwa mechi 4 siye mechi mbili tu, huku tukiwa na mechi 1 mkononi tumeshinda mechi moja zaid yenu, so beki zenu zimewaangusha mara nyingi kwa kushindwa kudefend ushindi wenu pale ulipo hitajika

halafu ume manipulate data, umetumia data za la liga tu wakat kuna makombe mengi, katika mechi 3 za mwisho za UCL beki yenu imeruhusu magoli 8, beki za madrid zimeruhusu magoli 3 tu.

kuhusu injury madrid tumeumiziwa wachezaji zaid ya nyie, labda atoke tu vidal ndio utasema mmepata shda.

hitimisho, beki yenu hata kocha wa Yanga hawezi kuikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…