BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wachezaji choka mbaya kina nan hao?
hahahaBoxer na wenziye😀
benzema, Bale na Ronaldo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wachezaji choka mbaya kina nan hao?
hawajachoka mbaya ila wamepungua kas tu kiaina, japo haija athiri timu kwa ujumlabenzema, Bale na Ronaldo.
Wanafiki utawajua tuTunawaua kesho afu kombe linaenda Capital
Madrid anahemea mipira[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunawaua kesho afu kombe linaenda Capital
embu rudia kusema tena.Madrid anahemea mipira[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ngoja leo tuwaonyeshe mpira waitaly na hatutak keleleKwa game ya jana ya Madrid ingekuwa Barca ndo angecheza na Bayern na akashinda vile, wangesema tumebebwaa ila kwakuwa ni Madrid sawa tu
Kama kawaida, watatoa povu sana tuuuu, AC Milan anatujua vzr tu wamuulize alishinda kama hizo akaja tukampiga 4ngoja leo tuwaonyeshe mpira waitaly na hatutak kelele
Tena Milan ndio alikuwa mkali kipindi hiko kuliko JuveKama kawaida, watatoa povu sana tuuuu, AC Milan anatujua vzr tu wamuulize alishinda kama hizo akaja tukampiga 4
barca wameshatolewa leo wanaenda kukamilisha ratiba tuTena Milan ndio alikuwa mkali kipindi hiko kuliko Juve
leo hakuna kubebwa na refaKama kawaida, watatoa povu sana tuuuu, AC Milan anatujua vzr tu wamuulize alishinda kama hizo akaja tukampiga 4
wanaenda wapi? au viroba.vya asubuhi asubuhi vinakupeleka putabarca wameshatolewa leo wanaenda kukamilisha ratiba tu