Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
kweli leo haikuwa siku manure hadi NN in da house!!..wameshadata kijana uwanjani!!
barca wananipa raha sana ....
L.O.L......mpira dakika 90 BAK.....Keep going BARCA....you are in it to win it!!!!
BREAKING NEWS: Ferguson ameishiwa na chewing gums
L.O.L......mpira dakika 90 BAK.....Keep going BARCA....you are in it to win it!!!!
BREAKING NEWS: Ferguson ameishiwa na chewing gums
Lile kufuli nimelitupilia mbali, hapa tunasherehekea kama tulivyozaliwa.haa haa.....hapo tayari mbwa keshakula mbwa.......cheerz.....niongeze tequila au....
<br />Hawa Manure si waende wakacheze bao tu!.
Mkuu miaka yangu 21 ya kushabikia Man Utd ina back that statement.. Angalia vs West Ham, Liverpool, Blackpool, Barcelona leo na 2009.Umeamua kuvaa jezi ya uswahilini sasa lol unaanza kuleta kisingizio cha jezi nyeupe lol.
sio jezi mkuu game yenu mnacheza kama mlivyo plan. Mkianza kwuashambulia hovyo watawakamata kwenye counter attack nendeni kwa hesabu hivyo hivyo kwa sasa kipindi kibaya hiki mkuu.