FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

itakuwa jambo la busara valencia akitolewa.. Ataleta kadi nyekundu...
 
L.O.L......mpira dakika 90 BAK.....Keep going BARCA....you are in it to win it!!!!

Hahahaha lol! huo wa leo si dakika 90 🙂 ulishakwisha baada ya goli la pili lol!
 
Leo Barcelona wamejitahidi kutokujiangusha.... Winning convincingly kudos kwao.
 
jamani huyu Ferguson awe makini,kuanza kutetemeka mikono vile si dalili nzuri......l.o.l
 
Umeamua kuvaa jezi ya uswahilini sasa lol unaanza kuleta kisingizio cha jezi nyeupe lol.

sio jezi mkuu game yenu mnacheza kama mlivyo plan. Mkianza kwuashambulia hovyo watawakamata kwenye counter attack nendeni kwa hesabu hivyo hivyo kwa sasa kipindi kibaya hiki mkuu.
Mkuu miaka yangu 21 ya kushabikia Man Utd ina back that statement.. Angalia vs West Ham, Liverpool, Blackpool, Barcelona leo na 2009.
 
thats fantastic.Bravo BACELONA for shouting mau u down. three goals are not enough, just add one or two. Thanx MESSI for showing them how soccer is played!
 
Back
Top Bottom