Teh teh upo sahihi mkuu....Sio tu timu hata mashabiki wake hebu angalia hapo mtaani kwenu mashabiki wa Madrid wakoje? Si huku kwetu ni wavuta bangi na wasio na shughuli za maana. Huwa nawaambia watu ukiwa shabiki wa Barca hata lifestyle yako inabadilika unakua mtu flani hivi wa tofauti na kama una watoto jaribu mmoja kumforce ashabikie Madrid mwingine Barcelona halafu angalia academic performance yao hutoamini macho yako!!!!!!!
Na Casemiro. wanamwita babyface killer. Ila Marcelo alizingua sana.Ile timu imejaa wahuni tu...Real Thugdrid.
Ramos
Pepe
Marcelo
Ronaldo
etc
Sifa moja wapo ya Madrid ni usela maviIle timu imejaa wahuni tu...Real Thugdrid.
Ramos
Pepe
Marcelo
Ronaldo
etc
Hahahaa hatari!! Muonekano wake wa sasahivi kawa kama Yesu wa kwenye filamu,mi napenda nimuone akiwa hana ndevu.View attachment 500460 magic messi yaani kamudu kushika jezi yake kwa mkono mmoja.
Yaani Mimi nafurahi sana nikimuona messi ana mandevu yake yale napata picha ya simba mkali asieshindika.Hahahaa hatari!! Muonekano wake wa sasahivi kawa kama Yesu wa kwenye filamu,mi napenda nimuone akiwa hana ndevu.
Hahhahaaa umetisha kumbe ukiwa na ndevu ni ugenius ehhhh? Basi kuanzia leo na mimi nitaweka za bandia[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..... ila amependeza kiasi fulani kawa kijanaaaYaani Mimi nafurahi sana nikimuona messi ana mandevu yake yale napata picha ya simba mkali asieshindika.
Ulaya manguli na magenius wote wa fasihi, sayansi, unajimu, mahesabu e.t.c huwa na madevu kibao kwa hiyo Messi ameingia rasmi kwa magenius wenzake kwa kigezo hicho.
Aqua dulce, aqua sala! por amor de una mujer nunca Messi.
Uzuri wa Barca hatuhitaji wachezaji wahuni wenye caliber yakeHuyu Marcelo,ilikuwaje huyu Barca hawakumuona wakamsajili-hili jamaa lingekaa kushoto na Neymar mbele-kungewaka moto
Mbona hizi ni kama goal 300 tu!MESSI HAS 500 GOALS FOR BARCELONA BUT WHO ARE HIS FAVOURITE OPPONENTS?
WE TAKE A LOOK AT HIS TOP 30 VICTIMS
1. Ajax. 6 goals
2. Celta Virgo 6 goals
3. Cordoba 6 goals
4. Eiber 6 goals
5. Manchester City 6 goals
6. Sporting jigon 6 goals
7. Bayern leverkusen 7 goals
8. AC Milan 8 goals
9. Celtic 8 goals
10. Arsenal 9 goals
11. Villareal 10 goals
12. Granada 11 goals
13. Marlloca 12 goals
14. Racing Santander 12 goals
15. Almeria 13 goals
16. Malaga 13 goals
17. Real Sociedad 14 goals
18. Real Zaragoza 14 goals
19. Levante 15 goals
20. Rayo Vallecano 16 goals
21. Real Betis 16 goals
22. Deportivo La coruna 17 goals
23. Espanyol 17 goals
24. Getafe 18 goals
25. Osasuna 21 goals
26. Athletic Bilbao 22 goals
27. Real Madrid 23 goals
28. Valencia 24 goals
29. Athletico Madrid 27 goals
30. Sevilla 29 goals
Si kweliMbona hizi ni kama goal 300 tu!