Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana kuona jamaa huyu anafunga goalMacherano anafunga goal la penalty na kuandika historia hapa
Halafu anaweza kufunga bana amepiga kitaalamu sana .Nimecheka sana kuona jamaa huyu anafunga goal
Yeah king amepumzishwa baada ya kufungua njia na kufumua marindernimecheki dk za mwishoni. Mascherano na Gomes wamenifurahisha.
naona hajapiga kitaalam, alikuwa anaangalia sana mpira. ila kanifurahisha/chekesha.Halafu anaweza kufunga bana amepiga kitaalamu sana .
Jinsi tunavyomchezesha tunahitaji a defend zaidi na sio ku attack thats why ni mpigaji mzuri sana wa pass za mwisho(piercing $penetrating balls)
Yaani Mimi nafurahi sana nikimuona messi ana mandevu yake yale napata picha ya simba mkali asieshindika.
Ulaya manguli na magenius wote wa fasihi, sayansi, unajimu, mahesabu e.t.c huwa na madevu kibao kwa hiyo Messi ameingia rasmi kwa magenius wenzake kwa kigezo hicho.
Aqua dulce, aqua sala! por amor de una mujer nunca Messi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kawa kijana tena......Hahhahaaa umetisha kumbe ukiwa na ndevu ni ugenius ehhhh? Basi kuanzia leo na mimi nitaweka za bandia[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..... ila amependeza kiasi fulani kawa kijanaaa