Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo ana la liga 1Mascherano, 7 years in Spain: 1 goal, 4 Liga titles.
Ronaldo, 8 years in Spain: 279 goals, 1 Liga title.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli analo kombe moja tu la liga nilichanganya nikajua vikombe tangu ajiunge Madrid amechukua kimoja tuRonaldo ana la liga 1
[emoji1] [emoji1]
Labda kama hiyo ligi unaangalia ya kwako
Mkuu ushamwamini sana huyu jamaa?ingekuwa poa Paco angepiga badala ya Suarez.
nimeona kwasasa Suarez makali yamekata na Messi na Neymar wakimlisha anaweza fanya maajabu.Mkuu ushamwamini sana huyu jamaa?
Ndoto hiyowakuu nasikia man u wwako karibu kumyakua Neymar?
Hawawezi hata kidogo ,Neymar ana malengo ya muda mrefu Barca hizo ni rumours tuwakuu nasikia man u wwako karibu kumyakua Neymar?
Au kiporo kuchacha.Madrid leo wametokea tundu la sindano kutoa draw ila match kati ya malaga au Sevilla watapoteza moja wapo
Gomes anacheza vzur sana saizVipi Gomes wakuu. Alikamua vema?