FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dah. Wakuu nilisema nidozi kidogo, si nimepitiliza! Ila tumepata ushindi muhimu sana. Bado mechi tatu. Ngumu ni villareal tu
 
Leo tumekuwa wazurulaji...yaani tumeshindia kwenye game kule kwa ka kabwamdogo Joshua Antony kakichakaa klitshiko kwa makata funua ya kitabe.

Vipi chama limepafomu fresh au cheche?
 
Wangapi mnamfatilia Bernardo silva?

Binafsi nimepoteza muda mwingi sana kufatilia Huyu kiumbe ni Bonge LA Mido

Umri wake ni miaka 22 ila Kazi yake ni miaka 25 amekomaa na Anajua kuucheza mpira vilivyo

Ukimuangalia Bernardo silva huwezi Taman usajili wa coutinho kuja Barcelona isipokuwa mtu Huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…