FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jamani nimefurahi sana kuunganika na nyie wote kuangalia hii game!!..Barcelona is the best f/ball club in the world, I stand to be corrected!!

My fellow redz, poleni na we did our best!...Cheers!!!

Big up to Barcelona....Hasta manyana!!...Muchas Gracias!!
 
Aramba aramba tena haaaam haaaaam............

Poleni sana watani wangu.....Inauma sana yaani maana siwapendi Barca mimi
 

Usiende bana.....kaa kaa mpaka wakati wa kuchukua kombe tusherehekee pamoja......nini lakini BJ
 
Aramba aramba tena haaaam haaaaam............

Poleni sana watani wangu.....Inauma sana yaani maana siwapendi Barca mimi

MAN U yenyewe huipendi.....Naipenda Barcelona.....Hongera Barcelona....VIVA!!!!

You are the Best......:dance::dance::dance:
 
woooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooowwwww wwwwwwwwww wowwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwooo kwa pamoja tuimbe

 
Last edited by a moderator:
Hakuna maajabu ya bayern Munich. leo
Hii mechi ishaisha...and I am proud of my team maana hakuna (nikiwemo mimi) aliyetegemea kama tungevuka second round.
Congratulations to Barcelona (whom I support secretly but not when they play my beloved Man Utd) kwa mechi nzuri na wanadeserve kushinda ilo halina ubishi.
 
Poleni sana Man U..............

Yaani leo ilikuwa ni kama mpambano wa Pacman na Miyeyusho
 
Haya kushi nehi! Wanazi wa Man U poleni kwa maumivu. Mkiyagawana mtapunguza makali yake.
 
Usiende bana.....kaa kaa mpaka wakati wa kuchukua kombe tusherehekee pamoja......nini lakini BJ

Game imeisha mpenzi!!..naangalia kukabidhiwa kombe mana ndiyo iliyobaki!!..kinauma acha tu!!mweeh
 
It is official, BARCA is the best team in the World...Congrats!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…