FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mara nyingi tu na mwaka huu watam crown tena kwa mara ya tisa mfululizo kama foward bora wa laliga this is totally dominance and not competition anymore mtaa wa pili acha walie
Leo anareigns supreme. Jamaa wana wanaweza drop points leo.
 
Kwanini ulikuwa unampenda Unzue?
Mimi japo Enrique anaondoka i have been the last kum disappont achievements zake ,he is still the best coach kwa mantiki hiyo basi nyuma ya mafanikio yake alikuwepo Juan Unzue ambaye ni bingwa wa tactics ambazo Enrique mwenyewe alikua anazikubali akizi introduce and killer punch ni kwamba anawajua sana wachezaji na potential zao (kama maana ya ukocha ilivyo) kwa hiyo ulikua ni muda wake wa kujidai na kuwa free kwa kutumia mbinu zake na za Enrique anazi integrate ingekua balaa thats why hata kwenye ku contest walipigwa chini watu kibao(kama Sampaoli ,Eusabio etc) wakabakizwa watu wawili kwenye table yeye na Velverde .Next time nitakuambia kwanini alichaguliwa velverde issue ambayo ina connection na kumuenzi Johan Cruyff
 
Sevilla wanagombea kucheza UEFA so Madrid wana bonge la mtiti leo however performace yao currently sio nzuri
Nasikia Pique hatacheza. Maron atakipiga. Huyu dogo simsomi fresh. Vipi kwenye kupanga attack yupo vizuri.
 
Nasikia Pique hatacheza. Maron atakipiga. Huyu dogo simsomi fresh. Vipi kwenye kupanga attack yupo vizuri.
Seriously?Maron atacheza?Dogo ni mtamu balaa then ni lamasia kindaki ndaki utamuona kuna siku aliwahi kucheza match ya CDR ,yaani huyu dogo ni wa kupewa match nyingi za team kubwa ili apate uzoefu mark my word ,ni potential sana huyu dogo namfuatilia
 
Mbona nimesikia kwamba Unzue- anahusika sana na ni responsible kwa goals tunazo leak huko nyuma!!!
 
Mbona nimesikia kwamba Unzue- anahusika sana na ni responsible kwa goals tunazo leak huko nyuma!!!
Namimi nimesikia cules wakilalamika hivyo. Wanasema sometimes Lucho alikuwa anamuachua usukani lakini anaishia kuboronga. Nimesikia pia juzi kati alizinguana na Neymar. Neymar akasema akibaki basi yeye ataondoka.
 
Mbona nimesikia kwamba Unzue- anahusika sana na ni responsible kwa goals tunazo leak huko nyuma!!!
What i know unzue ni mfuasi ws attack attack ....so moja ya weakness ya style hii ni weak defence kama wachezaji watakaohusika ku defend wasipokua na displine ya hali ya juu so tungesaji RB inayokimbia na mifielder kijana tungekua na kikosi kikali sana kwa kujaza midfielders wengi ndio solution

Halafu hii style tunapitisha magoli from no where hivi kwanini haijaweza kupatiwa dawa????yaani inaniuma sana foward zinashambulia halafu defence wanapitisha magoli kirahisi....
 
Kingine ninachofahamu ule ushindi wa comeback na PSG Unzue ndio alikua anaamini tutashinda na ali play tactics kiasi kikubwa
 
Palmas msimu huu wameruhusu magoli 67. Baada ya leo yatakuwa yanasoma 70+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…