Jamani leo nimekaa nikatafakari kuhusu solution (short term) kwa team yetu kufanya high pressing na kuleta ushindi hata match ngumu huku tukizuia attacks (current problem) kuna haja yakuwarudisha baadhi ya ma legend walioihama team wasiopungua watatu
Wengi wao wako team za England
Mtu kama Sanchez,Fabrigas Pedro na Thiago Alcantara sio vibaya wangekuja pale huku tukiangalia permanent solution ya watoto wa lamasia hasa wanaochipukia kama akina Marlon,Dennis Suarez,Munir etc etc
Barcelona tuna tatizo la wachezaji kuto fit kwenye mfumo wetu nakubaliana na
jackline 1 kuna siku ulishawahi kusema hili ,its true for me pamoja na kwamba we are focusing kwenye usajili wa new midfield and RB blood hili suala liende sambamba na hili wazo lakuwarudisha baadhi ya watu ambao wana fit moja kwa moja kwenye style zetu za uchezaji ,ni ushahidi usiokua na shaka kuwa hawa watu ni mafundi hata kwenye hizo team ambazo wamezihamia
TUJADILI