FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jamani nimeota....ha ha ha just like comeback Madrid anakufa kifo cha mende mikononi mwa malaga hatimae kikombe kinabakia nyumbani tena msimu huu
MARK MY WORD
Hii ni wishfull thinking-iliyobaki tujipange next season
 
Jamani nimeota....ha ha ha just like comeback Madrid anakufa kifo cha mende mikononi mwa malaga hatimae kikombe kinabakia nyumbani tena msimu huu
MARK MY WORD
afadhari umeota, tena ndoto ya mchana ni nzuri sana. [emoji2] [emoji2]
 
Hii ni wishfull thinking-iliyobaki tujipange next season
Barca is the best team ikiwa tu kama mwaka mbaya kwetu hatujapata mafanikio tunasumbua laliga hadi dk ya mwisho,tunachukua Cdl ,na UEFA tunaishia robo etc
We always deserve better than this hopeful mwakani treble inahusika for the best team in the world
 
Malaga ndio jini litakalokunyonya damu nakukutupa kule....usipate kikombe hata kimoja mwaka huku madridestatants
barca kwani hamuwezi kushindwa siku io? naomba tubalace haya mambo jamani. siyo tunaangalia rmd pekee as if barca tayari ashacheza. au unaonaje mkuu???
 
barca kwani hamuwezi kushindwa siku io? naomba tubalace haya mambo jamani. siyo tunaangalia rmd pekee as if barca tayari ashacheza. au unaonaje mkuu???
Pale ni Camp Nou unajua kabisa tunafanya kitu gani wale madogo wamefungwa goal kidogo zitakua 8
 
Malaga wako kwenye form balaa. Katika mechi ytano za mwisho wameshinda nne na kusare moja. Ni barca na madrid tu ndiyo zimeipita kwa kushinda mechi tano.
 
18486411_1086380714796785_3520036764834682020_n.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani leo nimekaa nikatafakari kuhusu solution (short term) kwa team yetu kufanya high pressing na kuleta ushindi hata match ngumu huku tukizuia attacks (current problem) kuna haja yakuwarudisha baadhi ya ma legend walioihama team wasiopungua watatu
Wengi wao wako team za England
Mtu kama Sanchez,Fabrigas Pedro na Thiago Alcantara sio vibaya wangekuja pale huku tukiangalia permanent solution ya watoto wa lamasia hasa wanaochipukia kama akina Marlon,Dennis Suarez,Munir etc etc
Barcelona tuna tatizo la wachezaji kuto fit kwenye mfumo wetu nakubaliana na jackline 1 kuna siku ulishawahi kusema hili ,its true for me pamoja na kwamba we are focusing kwenye usajili wa new midfield and RB blood hili suala liende sambamba na hili wazo lakuwarudisha baadhi ya watu ambao wana fit moja kwa moja kwenye style zetu za uchezaji ,ni ushahidi usiokua na shaka kuwa hawa watu ni mafundi hata kwenye hizo team ambazo wamezihamia
TUJADILI
 
Hapa kwenye players ambao will fit in the system,ndio kuna tatizo-hapa history has shown us ni trail and error. Magazeti ya Catalonia yanashindana kutaja players,yaani some are completely unknown.Barca need to get it right this time cause the few games we have not won-tulikuwa shambles
 
High pressing,now and then we will always get caught out,but then this method is unique and a joy to watch when confused opponents run around in rings. Tunachotakiwa kupunguza ni hiyo kukutwa in no mans land alaafu jamaa wanapata goal kirahisi. Radio za huku wanasema the powers that be,wameiona hii problem and will sort this out. I have this gut feeling,Barca ya next season will return to her rightfull place- The HELM of world soccer
 
Barca tukipata world class fullbacks na midfielders wa kufanya pale kati watu wawe wanapumzika itakuwa safi sana. RM wana MDs ambapo anayetoka mkali anayeingia mkali. Sisi mbali na Rafinha naona hatuna sub ya maana pale kati. Nafikiri tukiuzauza tutapata hela ya kufanya hayo.
 
Inasemekana hizi ndio jezi za msimu ujao
 
Attachments

  • Screenshot_2017-05-20-21-46-55.png
    Screenshot_2017-05-20-21-46-55.png
    306.5 KB · Views: 29
Back
Top Bottom