Mimi japo Enrique anaondoka i have been the last kum disappont achievements zake ,he is still the best coach kwa mantiki hiyo basi nyuma ya mafanikio yake alikuwepo Juan Unzue ambaye ni bingwa wa tactics ambazo Enrique mwenyewe alikua anazikubali akizi introduce and killer punch ni kwamba anawajua sana wachezaji na potential zao (kama maana ya ukocha ilivyo) kwa hiyo ulikua ni muda wake wa kujidai na kuwa free kwa kutumia mbinu zake na za Enrique anazi integrate ingekua balaa thats why hata kwenye ku contest walipigwa chini watu kibao(kama Sampaoli ,Eusabio etc) wakabakizwa watu wawili kwenye table yeye na Velverde .Next time nitakuambia kwanini alichaguliwa velverde issue ambayo ina connection na kumuenzi Johan Cruyff