Hii ni wishfull thinking-iliyobaki tujipange next seasonJamani nimeota....ha ha ha just like comeback Madrid anakufa kifo cha mende mikononi mwa malaga hatimae kikombe kinabakia nyumbani tena msimu huu
MARK MY WORD
afadhari umeota, tena ndoto ya mchana ni nzuri sana. [emoji2] [emoji2]Jamani nimeota....ha ha ha just like comeback Madrid anakufa kifo cha mende mikononi mwa malaga hatimae kikombe kinabakia nyumbani tena msimu huu
MARK MY WORD
Barca is the best team ikiwa tu kama mwaka mbaya kwetu hatujapata mafanikio tunasumbua laliga hadi dk ya mwisho,tunachukua Cdl ,na UEFA tunaishia robo etcHii ni wishfull thinking-iliyobaki tujipange next season
Malaga ndio jini litakalokunyonya damu nakukutupa kule....usipate kikombe hata kimoja mwaka huku madridestatantsafadhari umeota, tena ndoto ya mchana ni nzuri sana. [emoji2] [emoji2]
barca kwani hamuwezi kushindwa siku io? naomba tubalace haya mambo jamani. siyo tunaangalia rmd pekee as if barca tayari ashacheza. au unaonaje mkuu???Malaga ndio jini litakalokunyonya damu nakukutupa kule....usipate kikombe hata kimoja mwaka huku madridestatants
Pale ni Camp Nou unajua kabisa tunafanya kitu gani wale madogo wamefungwa goal kidogo zitakua 8barca kwani hamuwezi kushindwa siku io? naomba tubalace haya mambo jamani. siyo tunaangalia rmd pekee as if barca tayari ashacheza. au unaonaje mkuu???
Malaga ex machina! Lolote linaweza tokea.Malaga ndio jini litakalokunyonya damu nakukutupa kule....usipate kikombe hata kimoja mwaka huku madridestatants
kumbe wewe mshangiliaji tu na sio shabiki.Pale ni Camp Nou unajua kabisa tunafanya kitu gani wale madogo wamefungwa goal kidogo zitakua 8
Eibar hawawezi kutuhangaisha hata kidogo ndio maana game iko focused sana Madrid apotezekumbe wewe mshangiliaji tu na sio shabiki.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] i.e, dua la mwewe!!!Eibar hawawezi kutuangaisha hata kidogo ndio maana game iko focused sana Madrid apoteze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa kwenye players ambao will fit in the system,ndio kuna tatizo-hapa history has shown us ni trail and error. Magazeti ya Catalonia yanashindana kutaja players,yaani some are completely unknown.Barca need to get it right this time cause the few games we have not won-tulikuwa shamblesJamani leo nimekaa nikatafakari kuhusu solution (short term) kwa team yetu kufanya high pressing na kuleta ushindi hata match ngumu huku tukizuia attacks (current problem) kuna haja yakuwarudisha baadhi ya ma legend walioihama team wasiopungua watatu
Wengi wao wako team za England
Mtu kama Sanchez,Fabrigas Pedro na Thiago Alcantara sio vibaya wangekuja pale huku tukiangalia permanent solution ya watoto wa lamasia hasa wanaochipukia kama akina Marlon,Dennis Suarez,Munir etc etc
Barcelona tuna tatizo la wachezaji kuto fit kwenye mfumo wetu nakubaliana na jackline 1 kuna siku ulishawahi kusema hili ,its true for me pamoja na kwamba we are focusing kwenye usajili wa new midfield and RB blood hili suala liende sambamba na hili wazo lakuwarudisha baadhi ya watu ambao wana fit moja kwa moja kwenye style zetu za uchezaji ,ni ushahidi usiokua na shaka kuwa hawa watu ni mafundi hata kwenye hizo team ambazo wamezihamia
TUJADILI