Tatizo lako ni kuingiza matusi na lugha zilizokosa staha kwenye mijadala.Kingmavi kazima TV nasikia....
Samahani jirani sirudii tena....ila wanaume walikuwa wanacheza Leo ..,tufurahini sote ubingwa umebaki spainTatizo lako ni kuingiza matusi na lugha zilizokosa staha kwenye mijadala.
Haya nyie wanafiq WA BarcaJuve nendeni mkazike mzoga wenu, tumeshamuua babu yenu,
Ukijibiwa usisahau kunitag...Wakuu hodi humu ndani! Samahani nilikuwa nimelala ndio naamka sasa hivi. Eti Juventus hawajabeba kombe letu kutoka kwa Madrid?
Doenst Matter if Madrid Won The Trophy! We still Love Barca,
Because to us Barcelona is not only the Football Team Its our Religion!
[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]!Code:cc: TheMason
let see itForza Malaga, wait Forza Juve. No Buffon deserves Ballon d'Or
achana nao mkuu hao wooote wameshuhudia UEFA mara 3 ila ni BARCELONA pekee tumeshuhudia UEFA mara 4 kwenye karne hii SASA KWA NINI TUSIWE TIMU BORATatizo lako ni kuingiza matusi na lugha zilizokosa staha kwenye mijadala.
achana nao mkuu hao wooote wameshuhudia UEFA mara 3 ila ni BARCELONA pekee tumeshuhudia UEFA mara 4 kwenye karne hii SASA KWA NINI TUSIWE TIMU BORA
Umewamaliza tayari bingwa wanataka tuhame Barca kisa wao wameshinda UEFA?its a jokeDoenst Matter if Madrid Won The Trophy! We still Love Barca,
Because to us Barcelona is not only the Football Team Its our Religion!
[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]!Code:cc: TheMason
You dont have guts to do it mkuu ,kwa team gani pale?for me age yenu inaisha so mtasubiri miaka kadhaa kunyanyau laliga tena na UEFA tenaMkuu kunywa maji. Back to back, yaani ni Real Madrid pekee wanaoweza kufanya hiyo kitu. Na kuna mikakati mwakani kuchukua tena iwe Hat trick si unajua wazee wa marekodi.