Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Babu we mbishi sana..Stop hatin' on Barca, they are simply awesome.Hahaaaaaaaaaaa........................It's the best team in Europe bana....
As for now the best team in the world is Inter Milan,The World Club Champions(wliwafunga TP Mazembe Englebert 3-0 kwenye final ya World Club Championship)
Naona wakuu tumewasahau Manda na mfarasyio, wale wawili wasiwe wameji maliza?
Tribute kwa Abidal baada ya kuugua..What!? i really thought Puyol was the Barca's Team captain!? not Abidall!?
Haya Mkuu...lakini sidhani kama Inter wanaweza kukipiga na BARCA na kushinda katika mchapo huo.
habaki mtu hapa kwa sababu kila mtu katoa yake........he he
Pole sana BJ naona nyumba ndogo yako imepindua nyumba kubwa leo lol.
Haya Mkuu...lakini sidhani kama Inter wanaweza kukipiga na BARCA na kushinda katika mchapo huo.
only arsenal ndio alifanikiwa kumfunga barca katika english soil... Good nyt! Manutd fans! ...
Hivi wewe P long term team- relatnship unashabikia timu gani ???? teh teh teh teh
Mana hii leo barca kwangu ilikuwa ni mahusiano ya muda mfupi nimeishabikia lakini napendaga washika bunduki yaani the gunners.
Babu we mbishi sana..Stop hatin' on Barca, they are simply awesome.
Unajua mpira kweli wewe ,Man U na Chelsea wamewahi kumfunga Barca hapo England
Ndio maana nikasema 'As for now'
Kumbuka Inter(ya Mourinho) waliwapa kichapo Barca nyumbani na ugenini kwenye semis za last season kabla ya kuichapa Bayern Munich kwenye final.....All in all Barca ni wazuri sana this season,wanacheza soka la kuvutia hasa,na wanastahili mafanikio yote waliyoyapata msimu huu....
Mmmh! Hivi kuna wabongo wanaumia roho kwa kushabikia timu za wazungu? Ni afadhali kuwa mshabiki wa kawaida (passive fun) wa club za ulayaa, na ukawa mshabiki mkereketwa (active fun) wa timu ya hapo bongo. Msipozitia moyo timu zenu za nyumbani nani atazilitia?Zile champagne zenu mlizo ficha zitakuwa chungu kama shubiri mkilazimisha kunywa leo.subirini kwanza maumivu ya ishe ndio mnywe; weekend ijayo.
Hatimaye yametia.jamani hao ndo barca ya akina Iniesta!Hapo hakuna draw lazima kikombe kipate bwana
hehehe walifkiri hii ni Carling cup? wazembe Manu bana! Aisee yaani leo kama kuna mdada anajiskia kunichuna alete account number tu.