FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

nasalimia tu jamani [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
We jidanganye na data zako pori
 
Release clause yake ni kubwa cause he doubles up as a rent boy-this is an open secret
 
We jidanganye na data zako pori

Data pori zipi tena kumbe hadi BBC wanapika data sikuizi???...leta [HASHTAG]#facts[/HASHTAG] Mkuu...kwanza hiyo Release Clause ya messi ni euro 300m huku ya Criatiano ni pauni 874.88m...big difference euro shilling ni ndogo kuliko pounds in terms of conversion hapo kwa Cristiano ni Sawa na $1billion...Kwanza inatakiwa ujue kuwa JINA LA CR7 LENYEWE NI BRAND TOSHA UKIACHANA NA ACHIEVEMENTS ZAKE...UNAAMBIWA NUSU YA MAUZO YA SPORTS GOODS ZA NIKE HUTOKANA NA INFLUENCE YA RONALDO NDIO MAANA WAKAMPA ILE LIFE LONG CONTRACT OF NEARLY $1billion per year KWA KUWA WANAINGIZA SANA KUPITIA PROMOTION ANAZOWAFANYIA CR7...hivyo unapomuuza mchezaji kama Ronaldo huuzi Player as a player isipokuwa umeuza Brand kubwa ya makampuni kama NiKE SPORTS WEAR.Co.Ltd, Herbal life Investments Company, Julio & Sons Premier Suite.Co.Ltd...Jamaa ana mikataba mizito na makampuni mkubwa duniani...Kwenye mitandao ya kijamii tu anazalisha takribani $1billion per year...Messi ukitoa kwenye Mpira na Adidas he is no more a brand...hivyo lazima Cr7 Awe na Release Clause kubwa maana sio tu kwenye Soka ila pia ni brand kubwa kwenye makampuni...FORBES WENYEWE WANAKWAMBIA "IMAGINE WHAT A BUSINESS FALLOUT WOULD HAPPEN IF CRISTIANO RONALDO LEAVE REAL MADRID???"


 
Hii ni thread ya Barca nenda ukalishane haya matango pori kule nyumbani kwenu
 
Hii ni thread ya Barca nenda ukalishane haya matango pori kule nyumbani kwenu

Poa Mkuu...Ngoja nikawape matango pori na wale ndugu zangu Kule 😛😛😛😀😀😀...Sorry if I bothered you man 😡😡😡, but ndo hivyo kwa release clause ile ya [HASHTAG]#Cr7[/HASHTAG] ni ngumu kukuta Club kuhitaji kumnunua ukitoa zile za China...yani Madrid wakiwa na nia ya kumfanya Cristiano astaafu soka lake pale Bernabeu na wamenufaika sana na jamaa kuliko wao walichotumia kumsajili July 2009 Compared to Messi ambaye amewanufaisha sana Barca kuliko ata yeye mwenyewe alichopewa na barca, MADRID WANAJUA KUFANYA BIASHARA ZA WACHEZAJI AND AT THE SAME TIME WANAPATA ACHIEVEMENTS ZA KUTOSHA KATIKA CLUB YAO.
 
Huu ujinga wa paulinho asee hii bodi ya barca ya hovyo.
 
Huu ujinga wa paulinho asee hii bodi ya barca ya hovyo.
Bora tutafute RB (asiwe bellerin)wa ukweli na tuendelee na midfield ya kina iniesta, busi, roberto, raki, Gomes nk. Right flank ikiwa nzuri viungo wetu wanaweza onyesha maajabu. Msimu uliyopita tumemtesa Roberto kama RB. Raki siku nyingine anakuwa kama anacheza winger ya kulia. Tukirekebisha fullback ya kulia tunaweza kuwa na timu kali sana. Maana kwa timu mbovu tumebeba CDR, poteza la liga kwa point tatu huku tukipigwa na Juve kwa uzembe wa Lucho kumpa Mathieu. Y
 
U
Ukweli mchungu sana huu. kwa kweli Bart na board yake wanaonyesha incopemoetence ya kiwango cha hali ya juu sana. Utasema ni wabongo.
 
Muda bado haujaisha ila nimesikitishwa na jinsi Barca wanavyo deal na usajiri (transfers)
 
yani hw comes barcelona wanashndwa kusajili wachezaji wakubwa ...countinho,veratti.bellerin,.dembele na uyu paulinho wanashndwa......yani sijui wamekosea wapi wakati barcelona ikimkomalia mchezaji yeyote lazima imchukue cz kila mchezaji ana ndoto kucheza pale na mtu ka Messi....kipindi cha nyuma tuliweza kusajili wachezaji wazuri haswa kama Henry,ibrahimovic na fabregas eti sasahivi ndo tunashindwa kumsajili boya kama dembele na bellerin...tena na uyo veratti ni kwa kuwa hatujaweka userious tu
 
Barca hawana fedha,hawana kocha mwenye ushawishi,hawana kiongozi mwenye ushawishi tangu aondoke Juan Laporta ndio maana wanapata taabu sana kwenye usajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…