FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

3e2fd980553d471e0f6e5dcd00c17f58.jpg
bb4fcde9794b3a39e669fa31aa83102c.jpg
nasalimia tu jamani [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Acha kudanganya watu kijana NCHI IUZWE KWA PESA HIYO???...ata kama ni billion 700 za kitanzania bado hiyo ni bajeti ya wizara moja tu hapa TZ, alafu hiyo pesa ni ndogo sana kulinganisha na Release Clause ya [HASHTAG]#Cr7[/HASHTAG] which is £874.88m it's equal to $1billion...hii ya Cristiano ilijadiliwa Hadi BBC Uk kipindi Kile uvumi Wa kuondoka Real ulipokuwa mkubwa kutokana na ile ishu ya TAX FRAUD SPAIN Miezi iliyopita...Sasa kama Release Clause ya yule Asensio tu amemzidi Leo10 juzi imebadilishwa kwenye mkataba Wa Asensio kutokea £3.5m to £305m...Madrid ndo wanaziwezea hizo Realise Clause za wachezaji Sio nyie Barca mnachovya tu.

View attachment 537721
We jidanganye na data zako pori
 
Acha kudanganya watu kijana NCHI IUZWE KWA PESA HIYO???...ata kama ni billion 700 za kitanzania bado hiyo ni bajeti ya wizara moja tu hapa TZ, alafu hiyo pesa ni ndogo sana kulinganisha na Release Clause ya [HASHTAG]#Cr7[/HASHTAG] which is £874.88m it's equal to $1billion...hii ya Cristiano ilijadiliwa Hadi BBC Uk kipindi Kile uvumi Wa kuondoka Real ulipokuwa mkubwa kutokana na ile ishu ya TAX FRAUD SPAIN Miezi iliyopita...Sasa kama Release Clause ya yule Asensio tu amemzidi Leo10 juzi imebadilishwa kwenye mkataba Wa Asensio kutokea £3.5m to £305m...Madrid ndo wanaziwezea hizo Realise Clause za wachezaji Sio nyie Barca mnachovya tu.

View attachment 537721
Release clause yake ni kubwa cause he doubles up as a rent boy-this is an open secret
 
We jidanganye na data zako pori

Data pori zipi tena kumbe hadi BBC wanapika data sikuizi???...leta [HASHTAG]#facts[/HASHTAG] Mkuu...kwanza hiyo Release Clause ya messi ni euro 300m huku ya Criatiano ni pauni 874.88m...big difference euro shilling ni ndogo kuliko pounds in terms of conversion hapo kwa Cristiano ni Sawa na $1billion...Kwanza inatakiwa ujue kuwa JINA LA CR7 LENYEWE NI BRAND TOSHA UKIACHANA NA ACHIEVEMENTS ZAKE...UNAAMBIWA NUSU YA MAUZO YA SPORTS GOODS ZA NIKE HUTOKANA NA INFLUENCE YA RONALDO NDIO MAANA WAKAMPA ILE LIFE LONG CONTRACT OF NEARLY $1billion per year KWA KUWA WANAINGIZA SANA KUPITIA PROMOTION ANAZOWAFANYIA CR7...hivyo unapomuuza mchezaji kama Ronaldo huuzi Player as a player isipokuwa umeuza Brand kubwa ya makampuni kama NiKE SPORTS WEAR.Co.Ltd, Herbal life Investments Company, Julio & Sons Premier Suite.Co.Ltd...Jamaa ana mikataba mizito na makampuni mkubwa duniani...Kwenye mitandao ya kijamii tu anazalisha takribani $1billion per year...Messi ukitoa kwenye Mpira na Adidas he is no more a brand...hivyo lazima Cr7 Awe na Release Clause kubwa maana sio tu kwenye Soka ila pia ni brand kubwa kwenye makampuni...FORBES WENYEWE WANAKWAMBIA "IMAGINE WHAT A BUSINESS FALLOUT WOULD HAPPEN IF CRISTIANO RONALDO LEAVE REAL MADRID???"

Screenshot_2017-06-20-01-01-40.png

Screenshot_2017-06-20-01-28-07.png
 
Data pori zipi tena kumbe hadi BBC wanapika data sikuizi???...leta [HASHTAG]#facts[/HASHTAG] Mkuu...kwanza hiyo Release Clause ya messi ni euro 300m huku ya Criatiano ni pauni 874.88m...big difference euro shilling ni ndogo kuliko pounds in terms of conversion hapo kwa Cristiano ni Sawa na $1billion...Kwanza inatakiwa ujue kuwa JINA LA CR7 LENYEWE NI BRAND TOSHA UKIACHANA NA ACHIEVEMENTS ZAKE...UNAAMBIWA NUSU YA MAUZO YA SPORTS GOODS ZA NIKE HUTOKANA NA INFLUENCE YA RONALDO MDIO MAANA WAKAMPA ILE LIFE LONG CONTRACT OF NEARLY $1billion par year KWA KUWA WANAINGIZA SANA KUPITIA PROMOTION ANAZOWAFANYIA CR7...hivyo unapomuuza mchezaji kama Ronaldo huuzi Player as a player isipokuwa umeuza Brand kubwa ya makampuni kama NiKE SPORTS WEAR.Co.Ltd, Herbal life Investments Company, Julio & Sons Premier Suite.Co.Ltd...Jamaa ana mikataba mizito na makampuni mkubwa duniani...Kwenye mitandao ya kijamii tu anazalisha takribani $1billion per year...Messi ukitoa kwenye Mpira na Adidas he is no more a brand...hivyo lazima Cr7 Awe na Release Clause kubwa maana sio tu kwenye Soka ila pia ni brand kubwa kwenye makampuni...FORBES WENYEWE WANAKWAMBIA "IMAGINE WHAT A BUSINESS FALLOUT WOULD HAPPEN IF CRISTIANO RONALDO LEAVE REAL MADRID???"

View attachment 537764
View attachment 537765
Hii ni thread ya Barca nenda ukalishane haya matango pori kule nyumbani kwenu
 
Hii ni thread ya Barca nenda ukalishane haya matango pori kule nyumbani kwenu

Poa Mkuu...Ngoja nikawape matango pori na wale ndugu zangu Kule 😛😛😛😀😀😀...Sorry if I bothered you man 😡😡😡, but ndo hivyo kwa release clause ile ya [HASHTAG]#Cr7[/HASHTAG] ni ngumu kukuta Club kuhitaji kumnunua ukitoa zile za China...yani Madrid wakiwa na nia ya kumfanya Cristiano astaafu soka lake pale Bernabeu na wamenufaika sana na jamaa kuliko wao walichotumia kumsajili July 2009 Compared to Messi ambaye amewanufaisha sana Barca kuliko ata yeye mwenyewe alichopewa na barca, MADRID WANAJUA KUFANYA BIASHARA ZA WACHEZAJI AND AT THE SAME TIME WANAPATA ACHIEVEMENTS ZA KUTOSHA KATIKA CLUB YAO.
 
PSG ni timu kubwa na Verrati ndio backbone yao hawawezi kumuuza kiurahisi kama mlivyokuwa mnadhani,na PSG sio timu ya kuuza key players wake.Kwa miaka mingi Barca walitaka kuwasajili Thiago Silva & Maquinhos lakini PSG wamegoma

Barca wamesema wataongeza dau baada ya ofa ya kwanza kukataliwa illi kumsajili Paulinho anayecheza China
Huu ujinga wa paulinho asee hii bodi ya barca ya hovyo.
 
Huu ujinga wa paulinho asee hii bodi ya barca ya hovyo.
Bora tutafute RB (asiwe bellerin)wa ukweli na tuendelee na midfield ya kina iniesta, busi, roberto, raki, Gomes nk. Right flank ikiwa nzuri viungo wetu wanaweza onyesha maajabu. Msimu uliyopita tumemtesa Roberto kama RB. Raki siku nyingine anakuwa kama anacheza winger ya kulia. Tukirekebisha fullback ya kulia tunaweza kuwa na timu kali sana. Maana kwa timu mbovu tumebeba CDR, poteza la liga kwa point tatu huku tukipigwa na Juve kwa uzembe wa Lucho kumpa Mathieu. Y
 
U
Barcelona’s Managerial Incompetence Is Paving The Path For Future Real Madrid Dominance

How Barcelona’s poor squad building and financial mismanagement is allowing their rivals to surpass them.
by Om Arvind@OmVArvind Jul 6, 2017, 10:58pm CEST
672035884.0.jpg


Football Club Barcelona endured a trying 2016/17 campaign: they failed to defend their La Liga title, crashed out miserably in the Champions League, saw many of their flaws in midfield exposed, and as a result, relied overly on the brilliance of MSN (Messi, Suarez, and Neymar) to carry them to victory. The only soothing points were the capture of the Copa del Rey and the Spanish Super Cup, both of which will do little to ease the long-term restlessness that has been steadily growing inside La Blaugrana’s fanbase.


However, a lack of short-term success doesn’t necessarily hint at any fundamental problems; in fact, it is more likely than not that a sports team will experience more failure than success. Additionally, the difference between winning and losing can come down to key tactical decisions, injuries, or moments of individual brilliance. There’s no inherent need to panic because your team lost two trophies.

Indeed, that is often the reason that many sides fall short of success, leading to unnecessary overhauls and overreactions. Using this logic to peer at the surface of Barcelona’s situation, it seems like things are ok. The Catalans lost the league by a mere three points and their thrashing vs. Juventus happened on a day when Luis Enrique’s tactical set-up was poor and Lionel Messi had his worst game ever.

But peer even a little closer, and obvious fault lines appear, signifying an impending disaster of an unsure magnitude. The truth is, Barca’s failure in 2016/17 is only the symptom of a much larger problem of managerial incompetence that starts from the very top. La Blaugrana’s board has been setting this team up for failure for a very long time and we are finally starting to see the results.


The current midfield issue is an excellent example of how incompetence originating years ago has affected the fortunes of the squad in place today. Going all the way back to 2013, Barcelona had a chance to secure their midfield future in the form Thiago Alcantara - a La Masia graduate who had all the qualities to replace Xavi.

169780998.jpg


Thiago - once considered the heir to Xavi

With the maestro declining, everything was primed for Thiago to take his place... except... Thiago wanted to leave.

The player who grew up as a Barcelona player and had a brother in the same academy wanted to leave, because the people in charge of the club had failed to give him minutes. In a complicated contract situation, Thiago signed a deal from 2011-2013, requiring that he feature in at least 30 minutes of 60% of Barcelona’s games, or else his release clause would drop from the sizable €90m to a pitiful €18m. Amazingly, Barcelona failed to live up to this condition and therefore communicated a lack of seriousness about Thiago’s future. Displeased, the brightest young midfielder in Spain left on the cheap to join Pep Guardiola at Bayern.


Fast forward to today, and Carlo Ancelotti has reaped the rewards of this transfer, while Barcelona have struggled with the subpar Andre Gomes as a fixture in their midfield. But even after selling Thiago, Barcelona had years to remedy the situation. It was their decision to sit on their hands until Xavi retired and Iniesta faded, only to spend €35 million (which could rise to €70 million due to add-ons) for Gomes; a good but not great midfielder who clearly doesn’t fit the playing philosophy of the club. They did sign Rakitic in the interim, but considering that he turned 29 in March, it is obvious that he is little more than a stopgap option.

And yet, there’s still time for things to be fixed. Barcelona are only one year removed from success and have all the prestige in the world to lure almost any talent to their shores. So who have they gone out and tried to buy in this transfer window?

659583196.jpg

Paulinho - midfielder for Guangzhou Evergrande


Ummm.... What the ****?

Naby freakin’ Keita has been linked with Liverpool and is rumored to be considering his options this summer, and Barcelona go for the average joe who flopped at Tottenham and is unlikely to be a proper tactical fit even if he possessed greater quality.


In case you are unaware, Keita is 22 years old, and is as close to a complete midfielder as possible: he defends like a proper ball-winner, dribbles like a winger, and creates like an attacking midfielder. He’s the perfect Barcelona signing: diminutive in stature, but possessing sufficient steel to compliment his excellent array of technical skills.

While there is still plenty of time in the transfer market to pursue him, Barcelona’s confirmed go at Paulinho signifies their amateurish transfer strategy and complete lack of a squad building strategy.

If you need further evidence, look only as far as Sergi Roberto, a natural central midfielder, who currently plays as a right back in Barcelona’s starting eleven. I say again, Sergi Roberto, a central midfielder, is the current replacement for Daniel Alves, the greatest right back in Barcelona’s history.

But to be fair, quality fullbacks are hard to come by and it’s entirely possible that no right back was available last summer. So why then, was Dani Alves allowed to leave?

Because Barca’s board made Alves feel undervalued, causing him to force an exit in search of greener pastures.

I have to say that I didn’t feel as comfortable any more at Barça. Dominance
Ukweli mchungu sana huu. kwa kweli Bart na board yake wanaonyesha incopemoetence ya kiwango cha hali ya juu sana. Utasema ni wabongo.
 
Muda bado haujaisha ila nimesikitishwa na jinsi Barca wanavyo deal na usajiri (transfers)
 
yani hw comes barcelona wanashndwa kusajili wachezaji wakubwa ...countinho,veratti.bellerin,.dembele na uyu paulinho wanashndwa......yani sijui wamekosea wapi wakati barcelona ikimkomalia mchezaji yeyote lazima imchukue cz kila mchezaji ana ndoto kucheza pale na mtu ka Messi....kipindi cha nyuma tuliweza kusajili wachezaji wazuri haswa kama Henry,ibrahimovic na fabregas eti sasahivi ndo tunashindwa kumsajili boya kama dembele na bellerin...tena na uyo veratti ni kwa kuwa hatujaweka userious tu
 
yani hw comes barcelona wanashndwa kusajili wachezaji wakubwa ...countinho,veratti.bellerin,.dembele na uyu paulinho wanashndwa......yani sijui wamekosea wapi wakati barcelona ikimkomalia mchezaji yeyote lazima imchukue cz kila mchezaji ana ndoto kucheza pale na mtu ka Messi....kipindi cha nyuma tuliweza kusajili wachezaji wazuri haswa kama Henry,ibrahimovic na fabregas eti sasahivi ndo tunashindwa kumsajili boya kama dembele na bellerin...tena na uyo veratti ni kwa kuwa hatujaweka userious tu
Barca hawana fedha,hawana kocha mwenye ushawishi,hawana kiongozi mwenye ushawishi tangu aondoke Juan Laporta ndio maana wanapata taabu sana kwenye usajili
 
Back
Top Bottom