FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

View attachment 541714
Sometimes kwenye sports hela sio kila kitu huu ni mfano mzuri sana wa hawa jamaa zetu Madrid simply the are wasting money so jamani tulieni tuone Velverde atatufanyia nini so long as we still have best players


Only fools can agree that Barca paid only €57M for Neymar. Labda wakati wa scandal ya usajili wa Neymar ulikuwa bado hujaanza kuwa shabiki wa Barcelona
 
Only fools can agree that Barca paid only €57M for Neymar. Labda wakati wa scandal ya usajili wa Neymar ulikuwa bado hujaanza kuwa shabiki wa Barcelona
Tunaomba basi utuambie wewe walilipa shiling ngapi lakini kwa mshangao dau walilolipa Madrid kwa hayo magarasa unalikubali
 
Sometimes kuna watu wanachekesha sana in 10 years Barca amechukua laliga mara 7 ,Madrid mara 2 tu ila wanaona dunia ni ya kwao let me tell your what Barca is doing in Spain in completely dominance, we hushangai Barca ya last season inaitwa mbaya ila Madrid amechukua kikombe kwenye match ya mwisho basi definition ya ubovu wa Barca ni spectacular
 
Tunaomba basi utuambie wewe walilipa shiling ngapi lakini kwa mshangao dau walilolipa Madrid kwa hayo magarasa unalikubali


Unaongea nonsense. Hayo magalasa yamechukua Champions League back to back.
 
Mkuu trend inachange now Real Madrid imekuwa Barca na Barca imekuwa Real Madrid,timu wanayotengeneza Real Madrid ita-dominate kwa muda mrefu sana kama Perez akimpa nafasi Zidane.The worst thing ni kuwa management ya Barca imekaa inazubaa kumbuka Messi,Iniesta,Pique,Suarez wameingia kwenye 30s while Real Madrid ukiacha wazee kina CR7,Ramos,Mondric,Benzema wana vijana kina Varane,Hernandez,Asensio,Isco,Casemiro,Carvajal,Morata
 
Madrid ina shine vipi bila Christiano?acha kujitia uchizi
 
Kwa taarifa yenu Barca kuna watoto wa lamasia kibao... ambao Enrique alikua hawatumia Velverde ana restore culture yetu tena ningekua mshauri wake sitaku kabisa asajili kwa sababu kuna utitiri wa watoto kibao wanahitaji kucheza ili wajengeke

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wewe bana,Madrid ata dominate kweli,dynamics za modern football zitaruhusu?? la liga umechukua kwa a whisker leo ushajiona complete package.Barca akirekebisha kwenye flanks-utakabidhi point 6 na sio 4 kama season iliyokwisha. Coronation ya Messi kama mfalme wenu SPAIN, itafanyika kwa mara ya pili
 
Nani alikudanganya mimi mshabiki wa Madrid ?
 
Yaa
yaani Barca mbaya imechukua points 4 toka RM. Ikikosa laliga kwa point tatu.kwa hiyo tukiwa bora ni balaa kubwa. Ngoja tuongeze MF tuwaonyeshe kazi mwezi ujao. Bado kama mwezi tu.
 
Madrid amechukua kikombe kwenye match ya mwisho basi definition ya ubovu wa Barca ni spectacular

Dude inaelekea umeanza kufuatilia La Liga 2017. Real kachukua La Liga with 4 points difference, while season 2015/16 Barca won La Liga in the last game for the difference of a point. Sasa sijui unataka kusemaje?
 
JAMANI NAFUNGUA SEASON NA HII VIDEO YA VELVERDE NA VIJANA WAKIWA MAZOEZINI,wengi tunawajua kwa mbali namuona kijana Munir Alhadad(alienda kwa mkopo valencia last season) ,kijana mpya kabisa ni Marlon(mark this name) halafu Aleix Vidal amepania sana msimu huu anahitaji RB awe yeye kumbuka ametokea injury na vacation yeye hakuenda alikua anajinoa ili awe tegemeo la velverde
kijana mwingine mpya ni Cares Arena ambaye ni zao la lamasia pia kama tulivyomuona kwenye match tatu za mwisho akiwa na Lucho

Bila kumsahau kijana wa ki brazil Lucas Lima


 
suala la afya na uzito ,stamina ,wepesi velverde kwake ni kitu muhimu sana alihitaji record za wachezaji kama hii ili aanze shughuli yake kwa kuzingatia status ya kila player
 
Haya wale wanaodhani hatuwezi ku afford wachezaji wa bei kubwa hizi ni data za Forbes
 
Ripoti ya hivi punde inasema uongozi wa fc barcelona wamepeleka offer ya uero milion 70 plus ivan Ractic kwa PSG kwa ajili ya kumsajili Marco Verrati

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…