FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

So kwenye ishu ya kiungo ni lazima World class midfilder atue pale barcelona, plan B ya Verati ni dele Ali au philipe cottihno

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Ripoti ya hivi punde inasema uongozi wa fc barcelona wamepeleka offer ya uero milion 70 plus ivan Ractic kwa PSG kwa ajili ya kumsajili Marco Verrati

Sent from Samsung Galaxy s8+
hii sijaipenda. ni kummkosea heshima Ivan.
 
hii sijaipenda. ni kummkosea heshima Ivan.
Wewe kweli ni Barca damu hadi mimi nimeshangaa nilipoiona hiyo post
Barcelona wangeachana na Verrati na kumleta Coutinho we need attacking midfielder ambaye ni aggressive
Hatuwezi tukapoteza vyote na kipenzi wetu Rakitic ambaye anaujua na ku fit formula zetu na ku risk ,never
 
Ripoti ya hivi punde inasema uongozi wa fc barcelona wamepeleka offer ya uero milion 70 plus ivan Ractic kwa PSG kwa ajili ya kumsajili Marco Verrati

Sent from Samsung Galaxy s8+
si poa kabisa. Raktic ni fundi bhana. Tena kafiti na mfumo wetu. Unaweza mchukua Verrat asifit kwenye mfump wetu kwa kumpoteza Rakitic ambae tunafaida nae . Tuangalie alternative tu[emoji24] [emoji24]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tofauti kati ya verati na raktic ni kua raktic yupo direct na hakabi anafit sana kwa timu inayocheza counter attack lyk madrid au man united, verati anafit sana kwenye mfumo wa possession yaan verati ni replacement sahihi ya Xavi

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Verati simjui kihivyo,cause most times I only watch Barca but Raktic consistency yake of late ni irregular,anaweza akacheza game moja vizuri and the next 3 less then average.Hii inasababisha tu struggle na kufungwa na nobodies.Tunaitaji a player ambae anacheza game 10 at least in top form.Kuna some players hata mpira ukikataa,akiwa na mpira anything can happen,unfortunately huyu Raktic is not one of them
 
Raktic aliletwa kwa ajili ya kuziba pengo la Legendary Xavi ila unfortunately enough ameshindwa kufikia hata nusu ya ubora wa Xavi, kwa msimu uliopita alikua anakosa consistency kitu ambacho kiliicost timu, Marco Verati ni mchezaji ambaye ana sifa za Xavi kwa 80% hata Xavi mwenyewe aliwahi kutoa kauli ya kua Verati ndo mrithi wake. Raktic siyo pass master wakat Verati ni Pass master,alafu pia umri verati ndo ana 24 yrs wakat Raktic ana 29 yrs

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Verati kama nilivyosema simjui-mbali ya kuwa pass master anatakiwa kuwa enforcer who can mix the good and brute force-hapo kati ndio timu inashinda na kufungwa-eg MSN, Messi na Neymar ni good soft players akaongezwa Suarez ambaye ni all weather na combination ikawa lethal
 
Verati namjua vuzuri sana nina msimu wa 3 huu namfuatilia yupo vzr san tofauti na Raktic ambaye ni box to box midfielder

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Tatizo rakitic msimu uliopita alikuwa anatanua sana kusaidia winger ya kulia. Hili lilimfanya aonekane mbovu na hilo ni kutokana na kutokuwa na RB. lakini tukiwa na fullback mzuri na viungo wafanye kazi ya kiungo ni mchezaji mzuri.
 
Se
Now wameongeza ractic na gomes plus cash

Sent from Samsung Galaxy s8+
Sema sometimes inabidi jukubali kupart away na wachezaji tunaowapenda. Maana verrati akija tutakuwa na viungo wengi na wengine watashindwa kucheza. Tukipunguza hao wawili watu watapata playing time ya kutosha.
 
Se

Sema sometimes inabidi jukubali kupart away na wachezaji tunaowapenda. Maana verrati akija tutakuwa na viungo wengi na wengine watashindwa kucheza. Tukipunguza hao wawili watu watapata playing time ya kutosha.
Andre Gomes siwez sema ni mchezaji mbovu kwa kua hajapeform vzr kwa msimu wake wa kwanza coz he is stil very young ndo kwanza ana 23yrs but uongoz wa barcelona ulinunua viungo wengi ila walikua very cheap huwez shindana na timu kama madrid kwa kuwategemea gomes na denis suarez wakat Isco,maco asensio na james ambao pale madrid wanasugua benchi wakija barcelona wanawaeka benchi viungo wot wa barcelona,lazima timu itafute wachezaji wanaoendana na hadhi ya timu

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Hili nalo tatizo ila as long as msimu ujao Messi anacheza deep midfield nadhan mashambulizi yatejengwa kuanzia kwa Neymer. Ni nafasi nzuri sana kwa Neymer kuonesha ubora wake kwa kuibeba team kama Messi alivyofanya kwa muongo 1 uliopita

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Barcelona wana mkosea adabu na heshima rakitic, na hii ikianza kwa lucho, na mechi zote alizoacha kumpanga au alizom-sub tukifungwa au ikikuwa suluhu
 
Barcelona wana mkosea adabu na heshima rakitic, na hii ikianza kwa lucho, na mechi zote alizoacha kumpanga au alizom-sub tukifungwa au ikikuwa suluhu
Latest updates Valvarde kaweka msimamo wake wazi kua mbali ya kua anamuhitaji Verati, bado anawahitaji viungo Andre Gomes na Ivan Raktic

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Taarifa mbaya kwa timu yetu ni kua Neymer kautaarifu uongozi wa fc barcelona kua anataka kuondoka msimu huu kutokana na sababu kuu 2, 1. Amechoshwa kucheza chini ya kivuli cha Lionel Messi so anataka akacheze timu ambaye yeye ndo atakua baba mwenye team, 2. Amechoshwa na utaratibu wa kulipa kodi wa Spain, team 4 zimeonesha nia ya kulipa paundi milioni 175 kwa ajili ya kumnunua Neymer, timu hizo ni Man United, Man City, Real Madrid na PSG ambao wapo radhi kutoa Euro milioni 122 pamoja na kiungo Marco Verati ambaye anatafutwa kwa udi na uvumba na Fc Barcelona ili waweze kumnasa Neymer

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…