Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii sijaipenda. ni kummkosea heshima Ivan.Ripoti ya hivi punde inasema uongozi wa fc barcelona wamepeleka offer ya uero milion 70 plus ivan Ractic kwa PSG kwa ajili ya kumsajili Marco Verrati
Sent from Samsung Galaxy s8+
Wewe kweli ni Barca damu hadi mimi nimeshangaa nilipoiona hiyo posthii sijaipenda. ni kummkosea heshima Ivan.
si poa kabisa. Raktic ni fundi bhana. Tena kafiti na mfumo wetu. Unaweza mchukua Verrat asifit kwenye mfump wetu kwa kumpoteza Rakitic ambae tunafaida nae . Tuangalie alternative tu[emoji24] [emoji24]Ripoti ya hivi punde inasema uongozi wa fc barcelona wamepeleka offer ya uero milion 70 plus ivan Ractic kwa PSG kwa ajili ya kumsajili Marco Verrati
Sent from Samsung Galaxy s8+
Now wameongeza ractic na gomes plus cashhii sijaipenda. ni kummkosea heshima Ivan.
Tofauti kati ya verati na raktic ni kua raktic yupo direct na hakabi anafit sana kwa timu inayocheza counter attack lyk madrid au man united, verati anafit sana kwenye mfumo wa possession yaan verati ni replacement sahihi ya XaviWewe kweli ni Barca damu hadi mimi nimeshangaa nilipoiona hiyo post
Barcelona wangeachana na Verrati na kumleta Coutinho we need attacking midfielder ambaye ni aggressive
Hatuwezi tukapoteza vyote na kipenzi wetu Rakitic ambaye anaujua na ku fit formula zetu na ku risk ,never
Verati simjui kihivyo,cause most times I only watch Barca but Raktic consistency yake of late ni irregular,anaweza akacheza game moja vizuri and the next 3 less then average.Hii inasababisha tu struggle na kufungwa na nobodies.Tunaitaji a player ambae anacheza game 10 at least in top form.Kuna some players hata mpira ukikataa,akiwa na mpira anything can happen,unfortunately huyu Raktic is not one of themTofauti kati ya verati na raktic ni kua raktic yupo direct na hakabi anafit sana kwa timu inayocheza counter attack lyk madrid au man united, verati anafit sana kwenye mfumo wa possession yaan verati ni replacement sahihi ya Xavi
Sent from Samsung Galaxy s8+
Raktic aliletwa kwa ajili ya kuziba pengo la Legendary Xavi ila unfortunately enough ameshindwa kufikia hata nusu ya ubora wa Xavi, kwa msimu uliopita alikua anakosa consistency kitu ambacho kiliicost timu, Marco Verati ni mchezaji ambaye ana sifa za Xavi kwa 80% hata Xavi mwenyewe aliwahi kutoa kauli ya kua Verati ndo mrithi wake. Raktic siyo pass master wakat Verati ni Pass master,alafu pia umri verati ndo ana 24 yrs wakat Raktic ana 29 yrsVerati simjui kihivyo,cause most times I only watch Barca but Raktic consistency yake of late ni irregular,anaweza akacheza game moja vizuri and the next 3 less then average.Hii inasababisha tu struggle na kufungwa na nobodies.Tunaitaji a player ambae anacheza game 10 at least in top form.Kuna some players hata mpira ukikataa,akiwa na mpira anything can happen,unfortunately huyu Raktic is not one of them
Verati kama nilivyosema simjui-mbali ya kuwa pass master anatakiwa kuwa enforcer who can mix the good and brute force-hapo kati ndio timu inashinda na kufungwa-eg MSN, Messi na Neymar ni good soft players akaongezwa Suarez ambaye ni all weather na combination ikawa lethalRaktic aliletwa kwa ajili ya kuziba pengo la Legendary Xavi ila unfortunately enough ameshindwa kufikia hata nusu ya ubora wa Xavi, kwa msimu uliopita alikua anakosa consistency kitu ambacho kiliicost timu, Marco Verati ni mchezaji ambaye ana sifa za Xavi kwa 80% hata Xavi mwenyewe aliwahi kutoa kauli ya kua Verati ndo mrithi wake. Raktic siyo pass master wakat Verati ni Pass master,alafu pia umri verati ndo ana 24 yrs wakat Raktic ana 29 yrs
Sent from Samsung Galaxy s8+
Verati namjua vuzuri sana nina msimu wa 3 huu namfuatilia yupo vzr san tofauti na Raktic ambaye ni box to box midfielderVerati kama nilivyosema simjui-mbali ya kuwa pass master anatakiwa kuwa enforcer who can mix the good and brute force-hapo kati ndio timu inashinda na kufungwa-eg MSN, Messi na Neymar ni good soft players akaongezwa Suarez ambaye ni all weather na combination ikawa lethal
Tatizo rakitic msimu uliopita alikuwa anatanua sana kusaidia winger ya kulia. Hili lilimfanya aonekane mbovu na hilo ni kutokana na kutokuwa na RB. lakini tukiwa na fullback mzuri na viungo wafanye kazi ya kiungo ni mchezaji mzuri.Verati simjui kihivyo,cause most times I only watch Barca but Raktic consistency yake of late ni irregular,anaweza akacheza game moja vizuri and the next 3 less then average.Hii inasababisha tu struggle na kufungwa na nobodies.Tunaitaji a player ambae anacheza game 10 at least in top form.Kuna some players hata mpira ukikataa,akiwa na mpira anything can happen,unfortunately huyu Raktic is not one of them
Sema sometimes inabidi jukubali kupart away na wachezaji tunaowapenda. Maana verrati akija tutakuwa na viungo wengi na wengine watashindwa kucheza. Tukipunguza hao wawili watu watapata playing time ya kutosha.Now wameongeza ractic na gomes plus cash
Sent from Samsung Galaxy s8+
Andre Gomes siwez sema ni mchezaji mbovu kwa kua hajapeform vzr kwa msimu wake wa kwanza coz he is stil very young ndo kwanza ana 23yrs but uongoz wa barcelona ulinunua viungo wengi ila walikua very cheap huwez shindana na timu kama madrid kwa kuwategemea gomes na denis suarez wakat Isco,maco asensio na james ambao pale madrid wanasugua benchi wakija barcelona wanawaeka benchi viungo wot wa barcelona,lazima timu itafute wachezaji wanaoendana na hadhi ya timuSe
Sema sometimes inabidi jukubali kupart away na wachezaji tunaowapenda. Maana verrati akija tutakuwa na viungo wengi na wengine watashindwa kucheza. Tukipunguza hao wawili watu watapata playing time ya kutosha.
Hili nalo tatizo ila as long as msimu ujao Messi anacheza deep midfield nadhan mashambulizi yatejengwa kuanzia kwa Neymer. Ni nafasi nzuri sana kwa Neymer kuonesha ubora wake kwa kuibeba team kama Messi alivyofanya kwa muongo 1 uliopita
Barcelona wana mkosea adabu na heshima rakitic, na hii ikianza kwa lucho, na mechi zote alizoacha kumpanga au alizom-sub tukifungwa au ikikuwa suluhuWewe kweli ni Barca damu hadi mimi nimeshangaa nilipoiona hiyo post
Barcelona wangeachana na Verrati na kumleta Coutinho we need attacking midfielder ambaye ni aggressive
Hatuwezi tukapoteza vyote na kipenzi wetu Rakitic ambaye anaujua na ku fit formula zetu na ku risk ,never
Latest updates Valvarde kaweka msimamo wake wazi kua mbali ya kua anamuhitaji Verati, bado anawahitaji viungo Andre Gomes na Ivan RakticBarcelona wana mkosea adabu na heshima rakitic, na hii ikianza kwa lucho, na mechi zote alizoacha kumpanga au alizom-sub tukifungwa au ikikuwa suluhu
Rakitic's footwork is worseBarcelona wana mkosea adabu na heshima rakitic, na hii ikianza kwa lucho, na mechi zote alizoacha kumpanga au alizom-sub tukifungwa au ikikuwa suluhu