FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nani kakwambia Messi atacheza kiungo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Neymar akiondoka kitakacho fanyika ni team nzima kubadilisha mfumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Catalunya radio wamesema deal la Neymar kwenda PSG liko mbioni kukamilika. Inasemekana ni chanzo cha kuaminika.
In case Neymar ataondoka,Financial fair play regulations itawabana PSG big time, in that case lazima wauze-hapo namuona Verrati anakuja Barca kiulaini
 
In case Neymar ataondoka,Financial fair play regulations itawabana PSG big time, in that case lazima wauze-hapo namuona Verrati anakuja Barca kiulaini
Yeah nimemuona hata Bartmeo ali comment kuhusu hiko kiasi
 
Barca ina mfumo wake(tick taka) ambao unatakiwa uufuate hata ukiwa kocha kuna limit za kufanya modifications ,na mfumo wake unahitaji sana "Cantera Lamisia academicians"
modification mmojawapo ni kupiga cross-wakati naanza kuijua Barca,players were virtually walking with the ball into the net. Tick taka ilianzia kwa goalie mpaka ndani ya goal la opponents
 
Barca ina mfumo wake(tick taka) ambao unatakiwa uufuate hata ukiwa kocha kuna limit za kufanya modifications ,na mfumo wake unahitaji sana "Cantera Lamisia academicians"
Ila ujue mkuu sasa hv la masia haizalishi vijana bora kama ilivyokua miaka ya nyuma, hadi juzi Xavi kasema makocha wa la masia inabidi watimuliwe wote...kwahyo sasa hv no way out barca inabidi inunue tu wachezaji toka outside ambao itawawia vigumu sana ku adapt hyo tiki taka yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli ni kwa sababu hawajapewa opportunity wapo kibao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In case Neymar ataondoka,Financial fair play regulations itawabana PSG big time, in that case lazima wauze-hapo namuona Verrati anakuja Barca kiulaini
una fikra kama zangu na hata mimi naombeaa kabisaa Neymar aondoke tupate hela nyingi na verrati aje kirahisi maana wakizunguka kwa namna nyingine PSG watapoteza kama Paundi miliion 528
 
In case Neymar ataondoka,Financial fair play regulations itawabana PSG big time, in that case lazima wauze-hapo namuona Verrati anakuja Barca kiulaini
Verrati aliwaambia PSG kama wanataka abaki lazima wasajili world class players ,PSG walikubaliana nae wakamwahidi watawasijili wakaanza na Fabinho Monaco wakagoma kuwauzia wakampa Alves mshahara mara mbili ambao Man City walikubaliana nae baadae wakahamia kwa Neymar na deal likikamilika wanahamia kwa Sanchez.Mchezaji wanayeweza muuza ni Di Maria
 
Di maria pekee hawezi balance vitabu vya financial play regulations
 
nasikia hapa kuwa kawaambia wenzake kuwa anataka kusepa. nimeanza kufurahia mpunga tutapata. tukamdake Verrati na kutafuta world class LW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…