Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia Messi atacheza kiungo?Kwa upande wa right back hatuna tatizo tena coz competation ya samedo na Vidal lazima itupe positive result, Neymer ana kila dalili ya kuondoka maana anataka ballon d'or ambayo nadhan hii ndo ilikua nafasi yake kuipat akiwa na jezi ya barcelona maana msimu ujao Messi atacheza nafasi ya kiungo so mashambulizi yote yataongozwa Neymer, huu ndo muda sahihi wa kuonesha ubora wake.
Sent from Samsung Galaxy s8+
Kama Neymar akiondoka kitakacho fanyika ni team nzima kubadilisha mfumo.Ishu siyo kuvunja record ya dunia, ishu ni nani ataziba pengo lake kama pengo la Xavi mpaka leo halijazibwa. Barcelona ni wabovu sana katika usajili kuna taarifa niliisoma mtandaoni ikitokea Neymer akahama aubamiyeng ndo aje kuziba nafasi ya Neymer
Sent from Samsung Galaxy s8+
We unaijua Barca au ndio ile uzungumze tu mbele za watuKama Neymar akiondoka kitakacho fanyika ni team nzima kubadilisha mfumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
In case Neymar ataondoka,Financial fair play regulations itawabana PSG big time, in that case lazima wauze-hapo namuona Verrati anakuja Barca kiulainiCatalunya radio wamesema deal la Neymar kwenda PSG liko mbioni kukamilika. Inasemekana ni chanzo cha kuaminika.
Yeah nimemuona hata Bartmeo ali comment kuhusu hiko kiasiIn case Neymar ataondoka,Financial fair play regulations itawabana PSG big time, in that case lazima wauze-hapo namuona Verrati anakuja Barca kiulaini
Kwann unasema hvyo Mkuu?We unaijua Barca au ndio ile uzungumze tu mbele za watu
Barca ina mfumo wake(tick taka) ambao unatakiwa uufuate hata ukiwa kocha kuna limit za kufanya modifications ,na mfumo wake unahitaji sana "Cantera Lamisia academicians"
modification mmojawapo ni kupiga cross-wakati naanza kuijua Barca,players were virtually walking with the ball into the net. Tick taka ilianzia kwa goalie mpaka ndani ya goal la opponentsBarca ina mfumo wake(tick taka) ambao unatakiwa uufuate hata ukiwa kocha kuna limit za kufanya modifications ,na mfumo wake unahitaji sana "Cantera Lamisia academicians"
Ila ujue mkuu sasa hv la masia haizalishi vijana bora kama ilivyokua miaka ya nyuma, hadi juzi Xavi kasema makocha wa la masia inabidi watimuliwe wote...kwahyo sasa hv no way out barca inabidi inunue tu wachezaji toka outside ambao itawawia vigumu sana ku adapt hyo tiki taka yao.Barca ina mfumo wake(tick taka) ambao unatakiwa uufuate hata ukiwa kocha kuna limit za kufanya modifications ,na mfumo wake unahitaji sana "Cantera Lamisia academicians"
Sio kweli ni kwa sababu hawajapewa opportunity wapo kibao...Ila ujue mkuu sasa hv la masia haizalishi vijana bora kama ilivyokua miaka ya nyuma, hadi juzi Xavi kasema makocha wa la masia inabidi watimuliwe wote...kwahyo sasa hv no way out barca inabidi inunue tu wachezaji toka outside ambao itawawia vigumu sana ku adapt hyo tiki taka yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kuchukuliwa la masia ndio tiketi ya kuchukuliwa senior team? Wanatakiwa waonyeshe kitu exceptional.
una fikra kama zangu na hata mimi naombeaa kabisaa Neymar aondoke tupate hela nyingi na verrati aje kirahisi maana wakizunguka kwa namna nyingine PSG watapoteza kama Paundi miliion 528In case Neymar ataondoka,Financial fair play regulations itawabana PSG big time, in that case lazima wauze-hapo namuona Verrati anakuja Barca kiulaini
Verrati aliwaambia PSG kama wanataka abaki lazima wasajili world class players ,PSG walikubaliana nae wakamwahidi watawasijili wakaanza na Fabinho Monaco wakagoma kuwauzia wakampa Alves mshahara mara mbili ambao Man City walikubaliana nae baadae wakahamia kwa Neymar na deal likikamilika wanahamia kwa Sanchez.Mchezaji wanayeweza muuza ni Di MariaIn case Neymar ataondoka,Financial fair play regulations itawabana PSG big time, in that case lazima wauze-hapo namuona Verrati anakuja Barca kiulaini
Di maria pekee hawezi balance vitabu vya financial play regulationsVerrati aliwaambia PSG kama wanataka abaki lazima wasajili world class players ,PSG walikubaliana nae wakamwahidi watawasijili wakaanza na Fabinho Monaco wakagoma kuwauzia wakampa Alves mshahara mara mbili ambao Man City walikubaliana nae baadae wakahamia kwa Neymar na deal likikamilika wanahamia kwa Sanchez.Mchezaji wanayeweza muuza ni Di Maria