Kakosa magoli mawl pale daaah
Ukitaka hivyo msicheze mstari wa juu kama mkicheza mstari wa juu lazima beki ziwe exposed ndio kilichokuwa kinamtokea pep Bayern na city sababu gaps zinaachwa waziYaani magoli yote waliyorudisha jamaa ni ubovu wa defence please Velverde rekebisha hili suala maana naona inauma sana tunafunga ila kwetu kunakua na chujio
First half 45'
2-2
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo utashambuliaje bila ku advance team foward?Ukitaka hivyo msicheze mstari wa juu kama mkicheza mstari wa juu lazima beki ziwe exposed ndio kilichokuwa kinamtokea pep Bayern na city sababu gaps zinaachwa wazi
Type ya mpira anaocheza Barca lazima huku nyuma tukutwe sababu tunacheza high up the pitch dawa always ni ku outscore the opposition. Unfortunately kwa mimi mpira wa leo all efforts za kuangalia zimeshindikana.I will reserve my opinions for nowUkitaka hivyo msicheze mstari wa juu kama mkicheza mstari wa juu lazima beki ziwe exposed ndio kilichokuwa kinamtokea pep Bayern na city sababu gaps zinaachwa wazi
Tupe update mkuuPique amewafunga Madrid ha ha ha atachonga sana
Goal....dk ya 46 '
Gerald Pique
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeshinda 3-2Tupe update mkuu
Jogoo kaniamsha hapa. PC ya kustream sina. Na hizi link ya mobodro inazungua. Dk ya ngapi.
Suarez simply leo hayuko kwenye formSuarez nini pale.