Naona anataka kutoonekana amekamia sana. Neymar na Suarez pia wametoka. Naona marcelo kampiga Semedo chenga ya mwili.Eti Macherano yuko nje na Vaemelene ameingia aya bana wewe ndio kocha
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo atasumbua sana.
Messi amekosa 2,Neymar 2 , Suarez 1 ma Umtiti 1 yaani hizi nazungumzia clear chances kama za Neymar ni yeye na goalkeeperNatazama clip za youtube,Barcelona is about attack,chances galore tulizopata leo ni positive sign kwamba huyu coach hakuja ku defend.Hiyo defence itaji sort yenyewe we want to see attack attack-so far so good