FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mpira umeisha. 3-2. El classico ya pili tunawapiga hawa jamaa mwaka huu. Bado 3. Mbili za supercup na moha ya 21 december. Hawawezi kucheza nasisis, hawajaiona, nyota ya kijani ya uzazi wa mpango, zunduka.
 
Natazama clip za youtube,Barcelona is about attack,chances galore tulizopata leo ni positive sign kwamba huyu coach hakuja ku defend.Hiyo defence itaji sort yenyewe we want to see attack attack-so far so good
 
Messi amekosa 2,Neymar 2 , Suarez 1 ma Umtiti 1 yaani hizi nazungumzia clear chances kama za Neymar ni yeye na goalkeeper

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-07-30-07-41-18-1.png

Hawa ni champions of ICC
 
Nawaletea kwenu.....man of the match Gerald Pique. ....
[emoji23][emoji23][emoji23] president of Barcelona
Screenshot_2017-07-30-07-41-56-1.png
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom