FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wakuu team imeshawasili Barcelona watakua na mapumziko ya siku mbili kuanzia jana then mazoezi kama kawaida kwa ajili ya supercup tarehe 13-08 Vs Madrid
Neymar yeye alibakia Miami anapanda ndege kuelekea China kwenye promotion event ya Barcelona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi ndo striker wenu Ansensio?
Au yuko kwenye kundi la watu wenye successful dribbles

Asensio ni Real Madrid player kwani ulikuwa hujui? But that goal was amazing, he made Pique look like mediocre defender. But we don't talk about it because we still have a lot to celebrate
 
Asensio ni Real Madrid player kwani ulikuwa hujui? But that goal was amazing, he made Pique look like mediocre defender. But we don't talk about it because we still have a lot to celebrate
Ha ha you are funny we back in business
Mwaka wa treble kwa Barca tunauona mapema...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari nlizozipata hivi punde ni kwamba Neymar anajiandaa kwenda kwenye Medical Checkup PSG
 
Habari nlizozipata hivi punde ni kwamba Neymar anajiandaa kwenda kwenye Medical Checkup PSG
my friend achana na hizo habari neymar bado anamkataba na barc how come afanyiwe medical checkup?
neymar yupo china kwaajili ya kutangaza brand ya barc

ni kweli neymar ataondoka lakini sio leo
 
Jamani hii nutmeg washabiki wa Asia wamei brand kama "Boatenged "
Nimecheka sana jinsi babu Ramos anavyohangaika na Messi kitambo sana na bado hajamsoma
 
"Neymar must be going to PSG for the money and not the legacy.Barcelona the high priestess of the beautifull game,the envy of the world-a team that set out to pass opponents to death and then stick the knife in for fun. How exactly does one leave this club??" limesema the Sun la UK
 
Asensio ni Real Madrid player kwani ulikuwa hujui? But that goal was amazing, he made Pique look like mediocre defender. But we don't talk about it because we still have a lot to celebrate
Hamuongelei kwasababu mnajua ni tukio la kuotea halitokei mara kwa mara. Lakini watu wa
Tupe source,hivi medical check up inawezekana bila ruhusa ya Barca?????
Namimi nimeona kwenye barcablaugranes. Kesho anakutana na mabosi wa P$G qatar kufanya medical checkup.
 
Moneymar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…