Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu Madrid ndio wenye hiyo tabia hata historia ya mfalme wao alifanya hivyo hivyo alizuia team nyingine zote tofauti na Real Madrid hamna kununua wachezaji kutoka njekama mpira ungekuwa ni chuki yaani el classico madrid fans wasingesimama november 2005 na kumpigia makofi Ronaldinho Gaucho na juzi juzi Andres iniesta so mashabiki msichukulie El classico kama mechi ya chuki bhana
Kweli ase umenikumbusha ase Generali Franco alikuwa anawapendelea Real Madrid na hata Alfredo di Stefano alitakiwa kuwa mchezaji wetu ila kwa udikteta wake akachezea Madrid na kwa hiyo sababu Laszlo Kubala akawa icon wa Barcelona maana pamoja na udikteta ule alipambana kwa ajili ya Barca na Sanamu iliyo nje ya academy ya la masia ni ya Laszlo Kubala!Halafu Madrid ndio wenye hiyo tabia hata historia ya mfalme wao alifanya hivyo hivyo alizuia team nyingine zote tofauti na Real Madrid hamna kununua wachezaji kutoka nje
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
hahahaa very factManagement ya Barca itamuuza Neymar kwa sababu
1.Tumemdharau sio muhimu sana
2.kuna best replacement zaidi yake
3.Yeye sio Messi
4.Tunatengeneza fedha kupitia kwake (buyout clause €222M
Over
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Yaani kati ya wachezaji ambao wangeuzwa ni pamoja na huyu jamaa, palco alcaser....huwaga hajui kufunga magoli aseee
Kuna tatizo la management pale...Uyu neymar asepe 2 maana taarifa zake sshivi zinaboa 2...af barca nao drama nyingi afu action chache eti sasahivi tunamtaka hazard
ushahidi plz acha propaganda
Ha ha ule ni mfugo wetu tunaulea lea [emoji23][emoji23] ila wana mwaka mmoja tu wakichemsha this year watauzwa kwa bei ya madafuYaani kati ya wachezaji ambao wangeuzwa ni pamoja na huyu jamaa, palco alcaser....huwaga hajui kufunga magoli aseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Msenge sana huyu dogo, ningeweza ningemloga kuanzia sasa awe playerless...kenchi type!!!!Yaani hata usiogope huyo dogo hana effect sana ,tena ningekua mimi Bartmeo ningeharakisha sana jamaa wasije wakaghaili bahati haiji mara mbili
Statistics za leo:internet poll inaonyesha Neymar anachukiwa kwa 91% kwa sababu kwenye transfer yake hajaiheshimu club
Duuh,tuna replacement Zaidi yake?? mwekundu nakuaminia,emotions zako zisitawale uhalisiaManagement ya Barca itamuuza Neymar kwa sababu
1.Tumemdharau sio muhimu sana
2.kuna best replacement zaidi yake
3.Yeye sio Messi
4.Tunatengeneza fedha kupitia kwake (buyout clause €222M
Over
Tunajua conspiracy yake mwisho wa siku atarudi kwa Real Madrid na ndio utakua mwisho wake mpenda fedha (money monger)
Yaani Barca management ikimuuza huyu dogo ni dharau sana za kiwango cha juu atajisikia sana vibaya aombe isitokee
Trust me ,finishing ya Neymar (goal scoring yake technically imeshuka sana last season ni witness hata kombe alitukosesha yeye[emoji23])Neymar ukimuacha na goolkeeper peke yake mara 4 basi atafunga mara mojaDuuh,tuna replacement Zaidi yake?? mwekundu nakuaminia,emotions zako zisitawale uhalisia
Ukweli ni kwamba Neymar ingawa hajafunga magoli mengi amerahisisha sana kazi ya M na S.Trust me ,finishing ya Neymar (goal scoring yake technically imeshuka sana last season ni witness hata kombe alitukosesha yeye[emoji23])Neymar ukimuacha na goolkeeper peke yake mara 4 basi atafunga mara moja
But kwakua ana potential ya umri he can rectify it nd become better
Neymar yuko kwenye window ya kuambiwa kila kitu kwa sababu atakua ndo anaanza a fresh season
However my instincts zinaniambia uhamisho wake umeshindikana[emoji23]
Hahahaaa meno 34 nje yote 2, daaah yaani kama hii hapa, huyu ni Modrik el-classico ya huko nyuma. Alitaka kumvunja mgongo aseeecarvajal hapa lazima alitoa ushuzi siku nyingine awe anasoma kwanza jezi namba ngapi mgongoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Modric kapigwa chenga hata sahau maishani. Hakuna mchezaji wa madrid ambaye hajawahi dhalilishwa na Messi.
Nature ya winger yoyote ni speed na dribbling but kwenye modern football have to go extra-mile ya ku score and pass za kuchonga (assissts-hii sifa anayo) ila Neymar "Barca" sijui kwanini akitokea pembeni ni vigumu sana ku score au ataambulia kufanyiwa zile fauloUkweli ni kwamba Neymar ingawa hajafunga magoli mengi amerahisisha sana kazi ya M na S.
Dribbling zake lazima zilete havoc kwa defence yoyote-coming from the wings Neymar is unique na hana comparision
Whoever replaces him if he should go has a mountain to climb.
Nahisi Velverde itabidi abadilishe mfumo huko mbele ku address Neymars exit
Unafikiri kama scoring ratio yake ndio tatizo, PSG wangemtaka?? ni overall contribution yake katika game ndio imemuweka at the helm. Unafikiri makali ya MSN tutayaona tena baada ya Neymar kuondoka? We have to agree that MSN were a joy to watchNature ya winger yoyote ni speed na dribbling but kwenye modern football have to go extra-mile ya ku score and pass za kuchonga (assissts-hii sifa anayo) ila Neymar "Barca" sijui kwanini akitokea pembeni ni vigumu sana ku score au ataambulia kufanyiwa zile faulo
Back to back dribbling ni intrinsic character ya player yeyote wa Barca
Hata ningekua mimi ni Velverde ningempa asssignment yakurekebisha scoring ratio yake zinai cost team sana especially yeye anapokua finishing line akipasiwa penetrating passes za akina Messi na Iniesta (masters waliobakia ambao walijifunza kwa Xavi)
But overall Neymar is still our lovely barca player ila kimfumo kuna best replacement na hii ndio tofauti ya yeye na akina Messi,Iniesta etc
messi wakati anazichana tim za laligsa neymar slikuwepo? ngoja akapoteee hukoUnafikiri kama scoring ratio yake ndio tatizo, PSG wangemtaka?? ni overall contribution yake katika game ndio imemuweka at the helm. Unafikiri makali ya MSN tutayaona tena baada ya Neymar kuondoka? We have to agree that MSN were a joy to watch