FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

messi wakati anazichana tim za laligsa neymar slikuwepo? ngoja akapoteee huko

wakati barca tunafanya unyama huyu si alikuwa kwao mashimoni yeye atuache tu kwa sasa watupe hiyo hela 120 na verrati halafu sisi tunachukua dybala mzee wa haraka na coutinho maana keshakua sasa hivi anastahili kucheza barca
 
Tusiongee kishabiki, Neymer ni best player kwetu na mchango wake tangu atue fc barcelona ni mkubwa, hatuna haja ya kumponda kwa kua kaamua kuondoka jast tumuache aondoke kwa sababu club ina miaka zaidi ya 110 na mataji mengi sana na mchango wa Neymer katika mataji yote inaweza kua 3%, walikuepo wazuri zaidi ya Neymer kama Gaucho aliondoka lakin timu haikuyumba ndivyo mpira ulivyo, hatuwez kumpata kama Neymer ila atapatikana wakutuletea mchango mkubwa sana wa kufikia malengo tunayoyataka. Hatuna sababu ya kumponda Neymer ila tushkur kwa mchango wake kwa seasons 4 alizokaa nasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kweli kabisa. Pengine ni messi tu ndiyo anamzidi Moneymar kimpira. Ni uongo tukisema hana maana. Sema hasira za kumkosa ndiyo zinafanya watu waponde.
 
37622f8a38f658aa4961689d6cd7813d.jpg
Kuna usemi unasema, huwezi kunywa sumu mwenyewe alafu utegemee afe mtu mwingine....

Huyu msenge (Neymar) kanywa sumu mwenyewe alafu watu wanategemea Barca itakufa, sasa ngoja tusubiri tuone nani atakae kufa kati ya Neymar au Barca....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende tuu kwa Amani we are Fc Barcelona and north ng can change that. Hatuwezi kurudishwa nyuma na mtu mmoja hii club ni kubwa sana. Wamekuwepo wengi na wameondoka. Neymar aangalie tu priorities zake asije kupotezwa huko paris.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neymar bora aende tu maana akili yake inawaza pesa sana na baba yake ndye anaemuharibu dogo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
DADA NEEMA NENDA JAPO TULIKUPENDA ILA SABABU YA TAMAA UMEONDOKA BINAFSI TUNAKUTAKIA MAISHA MEMA
e4543c93c38c221dea143e35ea3d5bc2.jpg
 
Wakuu,
Hebu tupunguze jazba. Ni unafki kusema Neymar ni mchezaji wa kawaida.

Neymar is a world class player with a promising future!

If he wishes to go, then we should let him go. Amekua na mchango mkubwa kwenye team yetu.

My only doubt is, je ataweza kufanya yale aliyoyafanya akiwa amezungukwa na messi, Suarez na Iniesta?

Neymar is good, but being around the genius kinds of messi and Iniesta was a plus!

Simuoni Neymar wa kushinda ballondior PSG.

Anaweza kwenda huko au aende hata Madrid, but he'll always be under Messi's shadow as long as Messi is still alive!

Yeye sio wa kwanza. The whole football world is under Messi's shadow!

Fare well

- KANA -
 
Hakuna sehemu nmemponda mm ni shabiki wake namba moja cwez kumlaumu sababu anatafuta pesa namtakia kila la heri
 
Neymar akiwa na baba yake leo hii wameu face uongozi wa Barcelona akiomba kuondoka
Screenshot_2017-08-02-15-37-57-1.png

Uongozi umeomba Neymar alipe buyout clause yote
Picha limeanza rasmi
 
Neymar akiwa na baba yake leo hii wameu face uongozi wa Barcelona akiomba kuondoka View attachment 556269
Uongozi umeomba Neymar alipe buyout clause yote
Picha limeanza rasmi
Mchezaji kulipa buy out clause ni kawaida katika ligi ya spain,afterol PSG watampa hiyo hela,au atumie yake then PSG watamrudishia ila all in all hicho sio kikwazo.
 
Neymar bado hakua muhimu sana katika team ya Barcelona kama alivyo Messi kuanzia uwanjani hadi respect -macho yetu ni shahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umuhimu wa Messi upo wazi dunia nzima inalijua hilo,Lakini pia Neymar alikua na umuhimu wake mkubwa tu,tena sana. Ukicheza na barca cha kwanza lazima uwaze MSN, ile trio ni nightmare kwa mabeki wowote wale.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom