Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Neymar ataamua acheze namba anayotaka kucheza na atakuwa na influence kubwa kwenye usajili utakaokuwa unafanywa na PSG na wataendelea ku-dominate ligue 1 challenge kubwa ni kuchukua champions leagueukweli mimi Barca na soccer as a whole nimeijua not long ago-Neymar huko PSG atacheza kati or will he be coming from the wings?PSG mfumo wao vipi? will it suit his style of play? Will he climb to greater heights or kajichimbia kaburi-haya yote nayasoma kwenye Spanish press ambayo inamtakia mabaya- labda humu I will get rational answers je WILL he climb to greater heights???
PSG wanaamini Neymar bado hajafika kwenye peak na umri ni mdogo(25) tofauti na wakina Cavani,Zlatan ambao walisajiliwa wakiwa na umri mkubwa so wanaamini wanaweza kutengeneza timu kuchukua Champions League