Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachache sana wataiona vision yako ,mtu wa karibu yako akifanya mambo ya kijinga huwezi kumuacha hivi hivi PSG kama hawajashinda UEFA hamna la ziada tena league 1,hakuna changamotoBarca sio wajinga kutaka walipwe cash money wametazama mbali sana ....dogo anajua mpira lakini naona anguko lake kimpira
Matatizo yakujulia mpira ukubwani haya ,Hivi unamjua Ronaldinho alivyokua anatisha?unamjua Rivaldo?Samuel Eto?,Thiery Henry?,David Villa?,Thiago Alcantara?,Pedro?,Sanchez?wote hao walipita na Barca ikawa vilevile kwenye age nyingine kuna mtu anaitwa Johan Cruyff,kuna Maradona nakushauri jifunze kidogo kuuficha ujinga wakoBaselona kwishaaaaaa....
Madrid piga mbwa hao
Mdogo wangu ungejua maana ya Halla hata usingezungumza [emoji23]Piga mbwa haoooo
Halla Madrid
mkuu acha kuhangaika naye huyo dogo hajielewi.Mdogo wangu ungejua maana ya Halla hata usingezungumza [emoji23]
Mna mda mrefu sana hamjatufunga nyie alfu mashabiki wa man u na Madrid hakilli zao sawa na wengi wao wana mtindio wa ubongo na mfano mzuri ni ww great thinker hawez kuongea ujinga kama wako huoBaselona kwishaaaaaa....
Madrid piga mbwa hao
Baselona kwishaaaaaa....
Madrid piga mbwa hao
Fact mkuu league 1 hakuna mtu kama verrati na di maria watamani kutoka lakini kifungo ndio kikwazo....verrati kaomba kuuzwa wamekataa lakini barca wamekubali bila tabu hiyo hela tukileta coutihno na dyabala atakuwa ana like tu picha za washikaji zake barcaWachache sana wataiona vision yako ,mtu wa karibu yako akifanya mambo ya kijinga huwezi kumuacha hivi hivi PSG kama hawajashinda UEFA hamna la ziada tena league 1,hakuna changamoto
Neymar angeenda EPL ningejua ameaendea hata mpira
Asante mkuu very clearFc barcelona ina miaka zaidi ya 110 na wamepita wachezaji wengi wazuri sana Neymer hayupo hata 10 bora ya wachezaji bora wa muda wote wa barcelona na alikuja barcelona kwa sababu ya historia ya mataji na haya mataji yataendelea as long as barcelona itaendelea kuishi vizaz na vizaz walikuepo wengi sana na leo hawapo ila fc barcelona bado ipo, Neymer hajaibeba barcelona kua barcelona ya leo ila barcelona imemfanya Neymer kua Neymer wa leo. Wakati Robihno anatoka brazil kuja Real Madrid alikua na kipaji kikubwa sana kuliko Neymer lakin matokeo yake akaenda kuuliwa kipaji chake pale madrid . So kuondoka kwa Neymer siyo mwisho wa barcelona ila ni mwisho wa MSN maana huenda tukapata MSD au MSH au MSM so maisha yataendelea hatuna haja ya kupanic kufa kwa mtoto katika familia yenye watoto zaidi ya 4 ambao wanamudu kutunza familia siyo msiba mzito sana nadhani mtu ambaye tunapaswa kulia akiondoka au kustafu ni messi pekee yake maana kaifanyia fc barcelona mambo makubwa sana kuliko mchezaji yoyote katika historia ya fc barcelona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka sana MSD halafu Coutihno akiwa anatoa vionjo kutokea katikati ya kiwanja nitaenjoy sana nikiona Dyabala anatua pale dogo hana show nyingi yeye vimbwanga tuFc barcelona ina miaka zaidi ya 110 na wamepita wachezaji wengi wazuri sana Neymer hayupo hata 10 bora ya wachezaji bora wa muda wote wa barcelona na alikuja barcelona kwa sababu ya historia ya mataji na haya mataji yataendelea as long as barcelona itaendelea kuishi vizaz na vizaz walikuepo wengi sana na leo hawapo ila fc barcelona bado ipo, Neymer hajaibeba barcelona kua barcelona ya leo ila barcelona imemfanya Neymer kua Neymer wa leo. Wakati Robihno anatoka brazil kuja Real Madrid alikua na kipaji kikubwa sana kuliko Neymer lakin matokeo yake akaenda kuuliwa kipaji chake pale madrid . So kuondoka kwa Neymer siyo mwisho wa barcelona ila ni mwisho wa MSN maana huenda tukapata MSD au MSH au MSM so maisha yataendelea hatuna haja ya kupanic kufa kwa mtoto katika familia yenye watoto zaidi ya 4 ambao wanamudu kutunza familia siyo msiba mzito sana nadhani mtu ambaye tunapaswa kulia akiondoka au kustafu ni messi pekee yake maana kaifanyia fc barcelona mambo makubwa sana kuliko mchezaji yoyote katika historia ya fc barcelona
Sent using Jamii Forums mobile app
Cotihno usajil wake siyo wa kimreplace Neymer anasajiliwa kwa ajil ya kuchukua mikoba ya babu Iniesta so replacement ya Neymer ni either aje eden hazad, osman dembele paul dyabala, alexis sanchez,angel di maria au antonie griezman so ni lazima asajailiwe world class winger na world class midfielder
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya di maria niliona viongoz wakiliweka jina lake kama ni possible option replacement ya Neymer so lets wait and seedi maria hapana mkuu akae huko huko league 1 najua anatamani sana aje barca lakini ndio hivyo.....jicho liwe kwa dyabala mkuu kwanza umri 23 halafu mtaalamu sana sijui itakuwaje akikutana na mnyama messi na suarez minjino
Hata mim nimeona kwenye article flan ivi ila mashabiki mjini barcelona wanamtaka dybalaDon Ballon (gazeti la michezo longtime ambalo makao makuu ni Barcelona)
Wamesisitiza Alez Sanchez arudishe Barcelona ili kuziba pengo la Neymar
Wazee wazee Di Maria na Sanchez sitaki hata kuwasikia. Hukongoroka ghafla.Tutafute watu wa kwenda nao mda mrefudi maria hapana mkuu akae huko huko league 1 najua anatamani sana aje barca lakini ndio hivyo.....jicho liwe kwa dyabala mkuu kwanza umri 23 halafu mtaalamu sana sijui itakuwaje akikutana na mnyama messi na suarez minjino