FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca sio wajinga kutaka walipwe cash money wametazama mbali sana ....dogo anajua mpira lakini naona anguko lake kimpira
 
Wachache sana wataiona vision yako ,mtu wa karibu yako akifanya mambo ya kijinga huwezi kumuacha hivi hivi PSG kama hawajashinda UEFA hamna la ziada tena league 1,hakuna changamoto
Neymar angeenda EPL ningejua ameaendea hata mpira
 
Baselona kwishaaaaaa....
Madrid piga mbwa hao
Matatizo yakujulia mpira ukubwani haya ,Hivi unamjua Ronaldinho alivyokua anatisha?unamjua Rivaldo?Samuel Eto?,Thiery Henry?,David Villa?,Thiago Alcantara?,Pedro?,Sanchez?wote hao walipita na Barca ikawa vilevile kwenye age nyingine kuna mtu anaitwa Johan Cruyff,kuna Maradona nakushauri jifunze kidogo kuuficha ujinga wako
 
Fc barcelona ina miaka zaidi ya 110 na wamepita wachezaji wengi wazuri sana Neymer hayupo hata 10 bora ya wachezaji bora wa muda wote wa barcelona na alikuja barcelona kwa sababu ya historia ya mataji na haya mataji yataendelea as long as barcelona itaendelea kuishi vizaz na vizaz walikuepo wengi sana na leo hawapo ila fc barcelona bado ipo, Neymer hajaibeba barcelona kua barcelona ya leo ila barcelona imemfanya Neymer kua Neymer wa leo. Wakati Robihno anatoka brazil kuja Real Madrid alikua na kipaji kikubwa sana kuliko Neymer lakin matokeo yake akaenda kuuliwa kipaji chake pale madrid . So kuondoka kwa Neymer siyo mwisho wa barcelona ila ni mwisho wa MSN maana huenda tukapata MSD au MSH au MSM so maisha yataendelea hatuna haja ya kupanic kufa kwa mtoto katika familia yenye watoto zaidi ya 4 ambao wanamudu kutunza familia siyo msiba mzito sana nadhani mtu ambaye tunapaswa kulia akiondoka au kustafu ni messi pekee yake maana kaifanyia fc barcelona mambo makubwa sana kuliko mchezaji yoyote katika historia ya fc barcelona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baselona kwishaaaaaa....
Madrid piga mbwa hao
Mna mda mrefu sana hamjatufunga nyie alfu mashabiki wa man u na Madrid hakilli zao sawa na wengi wao wana mtindio wa ubongo na mfano mzuri ni ww great thinker hawez kuongea ujinga kama wako huo
 
Wachache sana wataiona vision yako ,mtu wa karibu yako akifanya mambo ya kijinga huwezi kumuacha hivi hivi PSG kama hawajashinda UEFA hamna la ziada tena league 1,hakuna changamoto
Neymar angeenda EPL ningejua ameaendea hata mpira
Fact mkuu league 1 hakuna mtu kama verrati na di maria watamani kutoka lakini kifungo ndio kikwazo....verrati kaomba kuuzwa wamekataa lakini barca wamekubali bila tabu hiyo hela tukileta coutihno na dyabala atakuwa ana like tu picha za washikaji zake barca
 
Fc barcelona ina miaka zaidi ya 110 na wamepita wachezaji wengi wazuri sana Neymer hayupo hata 10 bora ya wachezaji bora wa muda wote wa barcelona na alikuja barcelona kwa sababu ya historia ya mataji na haya mataji yataendelea as long as barcelona itaendelea kuishi vizaz na vizaz walikuepo wengi sana na leo hawapo ila fc barcelona bado ipo, Neymer hajaibeba barcelona kua barcelona ya leo ila barcelona imemfanya Neymer kua Neymer wa leo. Wakati Robihno anatoka brazil kuja Real Madrid alikua na kipaji kikubwa sana kuliko Neymer lakin matokeo yake akaenda kuuliwa kipaji chake pale madrid . So kuondoka kwa Neymer siyo mwisho wa barcelona ila ni mwisho wa MSN maana huenda tukapata MSD au MSH au MSM so maisha yataendelea hatuna haja ya kupanic kufa kwa mtoto katika familia yenye watoto zaidi ya 4 ambao wanamudu kutunza familia siyo msiba mzito sana nadhani mtu ambaye tunapaswa kulia akiondoka au kustafu ni messi pekee yake maana kaifanyia fc barcelona mambo makubwa sana kuliko mchezaji yoyote katika historia ya fc barcelona

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu very clear
Jamani me na propose potential replacement ni Coutinho wampandishie dau ana fit sana then tuongeza dogo mmoja ambaye na propose Dyabala au Verrati au Draxler au angel Di Maria
In short lazima waje wachezaji wawili
 
Fc barcelona ina miaka zaidi ya 110 na wamepita wachezaji wengi wazuri sana Neymer hayupo hata 10 bora ya wachezaji bora wa muda wote wa barcelona na alikuja barcelona kwa sababu ya historia ya mataji na haya mataji yataendelea as long as barcelona itaendelea kuishi vizaz na vizaz walikuepo wengi sana na leo hawapo ila fc barcelona bado ipo, Neymer hajaibeba barcelona kua barcelona ya leo ila barcelona imemfanya Neymer kua Neymer wa leo. Wakati Robihno anatoka brazil kuja Real Madrid alikua na kipaji kikubwa sana kuliko Neymer lakin matokeo yake akaenda kuuliwa kipaji chake pale madrid . So kuondoka kwa Neymer siyo mwisho wa barcelona ila ni mwisho wa MSN maana huenda tukapata MSD au MSH au MSM so maisha yataendelea hatuna haja ya kupanic kufa kwa mtoto katika familia yenye watoto zaidi ya 4 ambao wanamudu kutunza familia siyo msiba mzito sana nadhani mtu ambaye tunapaswa kulia akiondoka au kustafu ni messi pekee yake maana kaifanyia fc barcelona mambo makubwa sana kuliko mchezaji yoyote katika historia ya fc barcelona

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka sana MSD halafu Coutihno akiwa anatoa vionjo kutokea katikati ya kiwanja nitaenjoy sana nikiona Dyabala anatua pale dogo hana show nyingi yeye vimbwanga tu
 
Cotihno usajil wake siyo wa kimreplace Neymer anasajiliwa kwa ajil ya kuchukua mikoba ya babu Iniesta so replacement ya Neymer ni either aje eden hazad, osman dembele paul dyabala, alexis sanchez,angel di maria au antonie griezman so ni lazima asajailiwe world class winger na world class midfielder

di maria hapana mkuu akae huko huko league 1 najua anatamani sana aje barca lakini ndio hivyo.....jicho liwe kwa dyabala mkuu kwanza umri 23 halafu mtaalamu sana sijui itakuwaje akikutana na mnyama messi na suarez minjino
 
Hii ya di maria niliona viongoz wakiliweka jina lake kama ni possible option replacement ya Neymer so lets wait and see

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don Ballon (gazeti la michezo longtime ambalo makao makuu ni Barcelona)
Wamesisitiza Alez Sanchez arudishe Barcelona ili kuziba pengo la Neymar
 
0795ce3c766bef594ad1f4bcc1b4ca28.jpg
 
di maria hapana mkuu akae huko huko league 1 najua anatamani sana aje barca lakini ndio hivyo.....jicho liwe kwa dyabala mkuu kwanza umri 23 halafu mtaalamu sana sijui itakuwaje akikutana na mnyama messi na suarez minjino
Wazee wazee Di Maria na Sanchez sitaki hata kuwasikia. Hukongoroka ghafla.Tutafute watu wa kwenda nao mda mrefu
 
Back
Top Bottom