Fc barcelona ina miaka zaidi ya 110 na wamepita wachezaji wengi wazuri sana Neymer hayupo hata 10 bora ya wachezaji bora wa muda wote wa barcelona na alikuja barcelona kwa sababu ya historia ya mataji na haya mataji yataendelea as long as barcelona itaendelea kuishi vizaz na vizaz walikuepo wengi sana na leo hawapo ila fc barcelona bado ipo, Neymer hajaibeba barcelona kua barcelona ya leo ila barcelona imemfanya Neymer kua Neymer wa leo. Wakati Robihno anatoka brazil kuja Real Madrid alikua na kipaji kikubwa sana kuliko Neymer lakin matokeo yake akaenda kuuliwa kipaji chake pale madrid . So kuondoka kwa Neymer siyo mwisho wa barcelona ila ni mwisho wa MSN maana huenda tukapata MSD au MSH au MSM so maisha yataendelea hatuna haja ya kupanic kufa kwa mtoto katika familia yenye watoto zaidi ya 4 ambao wanamudu kutunza familia siyo msiba mzito sana nadhani mtu ambaye tunapaswa kulia akiondoka au kustafu ni messi pekee yake maana kaifanyia fc barcelona mambo makubwa sana kuliko mchezaji yoyote katika historia ya fc barcelona
Sent using
Jamii Forums mobile app
Nakumbuka Robinyo alipoiaga team yake na kudhihirika kuwa amejiunga Madrid, ndugu y(z)ake walitekwa ili robinyo naye apate machungu aliyowaachia mashabiki.
Kuna jambo moja ambalo ni dhahiri kabisa kuhusu wachezaji toka Brazil, usiweke imani kwao hata siku moja. (wakati wa mechi ya el clasico iliyofanyika USA hadi mtangazaji alionesha kushangaa imekuwaje Marcelo yupo Madrid kwa miaka kumi sasa. ) Hawa jamaa hawana cha kupoteza, in the name of money, they can do unthinkable.
Wale mabeki wa PSG tangu wakiwa kwao Brazil walikuwa ni Barca target, lakini wakachomoa wakafuata hela ufaransa. Dani alves alishakubaliana na man city lakini psg walipo-double salary akatokomea ufaransa
Neymar yeye ana pressure toka kwa baba yake na taifa kwa ujumla. Wabrazil wanajua kuwa kama watachukua kombe la dunia anytime soon ni mwakani, ili kufanikisha hilo, Neymar ni lazima atoke kwenye kile wanachokiita ni kivuli cha Messi, Little did they know that, Messi's shadow is everywhere.
Mimi ningeona concern ya Neymar ina mashiko kama angeenda hata Madrid au team yoyote kubwa EPL lakini league 1 ni kupoteza kipaji tu.
Modric aliwahi kuwaasa madogo wa Madrid wanaopigania number na kutaka kuondoka kuwa "sehemu yoyote mbali na Madrid is your downfall".