FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ukweli mimi Barca na soccer as a whole nimeijua not long ago-Neymar huko PSG atacheza kati or will he be coming from the wings?PSG mfumo wao vipi? will it suit his style of play? Will he climb to greater heights or kajichimbia kaburi-haya yote nayasoma kwenye Spanish press ambayo inamtakia mabaya- labda humu I will get rational answers je WILL he climb to greater heights???
Neymar ataamua acheze namba anayotaka kucheza na atakuwa na influence kubwa kwenye usajili utakaokuwa unafanywa na PSG na wataendelea ku-dominate ligue 1 challenge kubwa ni kuchukua champions league

PSG wanaamini Neymar bado hajafika kwenye peak na umri ni mdogo(25) tofauti na wakina Cavani,Zlatan ambao walisajiliwa wakiwa na umri mkubwa so wanaamini wanaweza kutengeneza timu kuchukua Champions League
 
Simply league wamesha dominate hata kama last season hawakuchukua sema level ya league yao sio ,Hata wachezaji wake sisikii kwenye world nominations za football (kuna tatizo)
Also wale jamaa ni copy and paste ya Man city domination yao ni locally ,Europe hata wafanyaje still wana small minds
 
Trust me, neymar is a good player but Barca made him better.

Kuanzia kwenye style of play alipewa uhuru wa kuchezea mpira hata akipoteza sio kesi.

Kukaa na mpira muda mwingi bila kukaba pia ilikua ni advantage.

Playing alongside Messi is a plus, leave alone Suarez, Iniesta and other world class players!

Sioni kama atayapata haya kule ufaransa au kwingineko.

- KANA -
Tangu mwanzo Neymar uchezaji wake haukuwa unafit kwenye mfumo wa Barcelona.Rossell+Batromeu walifanya makosa kumsajili Neymar walipaswa wawaachie Real Madrid,Mpaka leo Neymar ameigharimu Barca almost €200m na wanakuja kumuuza kwa €220m so ukiangalia faida wanauoipata ni ndogo
 
Simply league wamesha dominate hata kama last season hawakuchukua sema level ya league yao sio ,Hata wachezaji wake sisikii kwenye world nominations za football (kuna tatizo)
Also wale jamaa ni copy and paste ya Man city domination yao ni locally ,Europe hata wafanyaje still wana small minds
Ili uwe kwenye tuzo either timu yako ya taifa ichukue WC/Euro au Champions League,Roman Abromovic alitumia approach hiyo hiyo mpaka Chelsea wakachukua Chqmpions League na Man City wanatumia approach hiyo hiyo
 
Hata kama mwaka husika hamna hizo country competitions? Au sijakusoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa hakuna kitu unajua 2012 Barca alichukua UEFA au Argentina ilishinda Kombe lolote? mbona Messi akashinda Ballon dor na je hiyo hiyo 2012 wakat Chelsea anachukua UEFA kuna mchezaji wa chelsea aliyepewa Ballon dor? kwa hiyo UEFA sio fact kubwa maana wakti mwingine mchezaji anaeza kushinda Ballon dor bila kuchukua UEFA au kombe lolote la mabara
 
CR7,Messi,Kaka,Sheva,Ronaldinho wameshinda BalonDior/Player of the year kutokana na mafanikio waliyopata kwenye Uefa Champions League

Zidane (1998),Ronaldo de Lima(2002),Canavaro (2006) walishinda hizo tuzo kwa mafanikio waliyopata baada ya kushinda World Cup/Euro
 
Sasa anakoelekea jamaa yangu kuna Cavani kule goal ratio yake ni 1:1 last season alifunga goli 35
Neymar originally ni play maker (hapa ndio ana strength nyingi kuliko scoring) walioshinda hizo tuzo wote wana extra talent za zaid ya playmaking (dribbljng),passing na unique ya ku score
Neymar alihitaji akae Barca miaka miwili tena ili achieve hizo sifa ana longway to go ukiangalia type ya league anayoenda kucheza na rating zake kwenye league bora xa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa hakuna kitu unajua 2012 Barca alichukua UEFA au Argentina ilishinda Kombe lolote? mbona Messi akashinda Ballon dor na je hiyo hiyo 2012 wakat Chelsea anachukua UEFA kuna mchezaji wa chelsea aliyepewa Ballon dor? kwa hiyo UEFA sio fact kubwa maana wakti mwingine mchezaji anaeza kushinda Ballon dor bila kuchukua UEFA au kombe lolote la mabara
Kuanzia 2010 mpaka leo tuzo zimekuwa CR7 vs Messi ingawa sometimes hawakustahili hizo tuzo
2010 Wesley Schneider ndio alistahili kushinda (Inter walichukua treble +Holland walifika final WC) badala ya Messi

Kuna mwaka tuzo alipaswa kupewa Xavi or Iniesta Spain walivyochukua Euro lakini tuzo akapewa kati ya CR7 au Messi
 
Kama hufahamu kaka Ballon Dor ni tuzo ya individual Performance mbali na makombe japo kwa sasa imeonekana sahivi makombe yamekuwa na influence kubwa na 2010 sneider hakuwa na individual performance kubwa kuliko Messi na hii tuzo kwa sasa ikifuata misingi yake ya individual performance basi Leo10 anaibeba bila shida sema sasaa imeshaanza kuingiliwa na fitna za won trophies!
 
Sasa anakoelekea jamaa yangu kuna Cavani kule goal ratio yake ni 1:1 last season alifunga goli 35
Neymar originally ni play maker (hapa ndio ana strength nyingi kuliko scoring) walioshinda hizo tuzo wote wana extra talent za zaid ya playmaking (dribbljng),passing na unique ya ku score
Neymar alihitaji akae Barca miaka miwili tena ili achieve hizo sifa ana longway to go ukiangalia type ya league anayoenda kucheza na rating zake kwenye league bora xa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
Neymar ni mchezaji aliyeandaliwa Wabrazil wanaamini Neymar ndiye mchezaji atakayewaongoza kuchukua kombe la dunia mara ya 6 wanaamini atakuja kuchukua Balon Dior (Kwenye National level huenda akaja kuvunja rekodi za kufunga magoli ya Pele ).Ndio maana huko kwao Brazil huu uhamisho wanaufurahia na anaenda kucheza na Alves +Maquinhos+Thiago Silva ambao anacheza nao Brazil
 
Tangu mwanzo Neymar uchezaji wake haukuwa unafit kwenye mfumo wa Barcelona.Rossell+Batromeu walifanya makosa kumsajili Neymar walipaswa wawaachie Real Madrid,Mpaka leo Neymar ameigharimu Barca almost €200m na wanakuja kumuuza kwa €220m so ukiangalia faida wanauoipata ni ndogo
Usiangalie faida kwa hivyo mkuu. Ile ni brand. Unafikiri Barca wamefanya biashara ya Tsh ngapi Brazil kuoitia Neymar kwa hiyo miaka yote? Pia jamaa kwa maoni yangu alifit vizuri sana kwenye mpira wetu hadi akawa tegemeo letu.hatungeweza mtegenea mtu ambaye hakufit.Neymar mvunja ngome.
 
kusema kwamba Neymar hakufit katika mfumo sina uhakika- mfumo ulikuwa tailored kum maximize potential yake-ndio maana aliruhusiwa kuchezea na kupoteza mipira,alisamehewa hata kukaba at the expence ya beki aliekuwa nyuma yake
 
Kama hufahamu kaka Ballon Dor ni tuzo ya individual Performance mbali na makombe japo kwa sasa imeonekana sahivi makombe yamekuwa na influence kubwa na 2010 sneider hakuwa na individual performance kubwa kuliko Messi na hii tuzo kwa sasa ikifuata misingi yake ya individual performance basi Leo10 anaibeba bila shida sema sasaa imeshaanza kuingiliwa na fitna za won trophies!

Individual performance ni either magoli/assist au the way mchezaji alivyotoa mchango muhimu timu ikashinda mfano perfomance ya Neymar ile game ya pili against PSG

FYI
Sneijder alikuwa joint top scorer na Muller/Forlan/David Villa kwenye World Cup 2010 licha ya yeye kuwa kiungo na walifungwa final na Spain while Argentina walifungwa 4 na Germany quarter final na Messi hakufunga hata goli moja,Kwenye Champions league Inter walichukua kombe na waliwafunga Barca semi final

Sneijder kutopewa tuzo hata Platini,Xavi,Morati,Mourinho walilalamika
 
Usiangalie faida kwa hivyo mkuu. Ile ni brand. Unafikiri Barca wamefanya biashara ya Tsh ngapi Brazil kuoitia Neymar kwa hiyo miaka yote? Pia jamaa kwa maoni yangu alifit vizuri sana kwenye mpira wetu hadi akawa tegemeo letu.hatungeweza mtegenea mtu ambaye hakufit.Neymar mvunja ngome.
Ni kweli kwenye biashara Neymar alikuwa brand kubwa sana but kuna hasara kubwa sana amesababisha

1.Usajili wa Neymar kuna udanganyifu mkubwa ulifanyika hata ile fedha aliyosajiliwa ilikuwa sio sahihi ili kukwepa kodi,Sandro Rosell yuko rumande sababu ya huo usajili (Brand ya Barca imeharibika sana)

2.The way Neymar alivyohandle huu uhamisho wake inaonekana kabisa alikuwa na nguvu sana kwenye klabu ukilinganisha na mchango aliokuwa nao uwanjani

3.Neymar uchezaji wake anapenda kuchezea/kukaa na mpira muda mwingi while tiki taka inataka pokea mpira angalia wenzako toa pasi tafuta nafasi upewe pasi na unatakiwa kufanya maamuzi haraka,Messi anaweza akakaa na mpira akapiga chenga na final ball anafunga goli while Neymar yeye ataendelea kupiga chenga kufurahisha jukwaa
 
Neymar ni mchezaji aliyeandaliwa Wabrazil wanaamini Neymar ndiye mchezaji atakayewaongoza kuchukua kombe la dunia mara ya 6 wanaamini atakuja kuchukua Balon Dior (Kwenye National level huenda akaja kuvunja rekodi za kufunga magoli ya Pele ).Ndio maana huko kwao Brazil huu uhamisho wanaufurahia na anaenda kucheza na Alves +Maquinhos+Thiago Silva ambao anacheza nao Brazil
Wabrazil wafurahie kuhamia France league 1?au Neymar Barcelona alikua ananyonywa?ahame tu salama angekua muhimu sana uongozi wa Barcelona wangemng'ang'ania tu lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neymar has agreed a five-year deal with Paris Saint-Germain and is due in Paris within the next two days to finalise the most expensive transfer in world football history, according to Sky sources.

Sky Sports News understands that Neymar decided to leave Barcelona following talks on holiday near Rio de Janeiro in early July, before he joined the club's pre-season tour of the United States.

He is expected to arrive in the French capital by Friday at the latest to complete his move.
 
Back
Top Bottom