FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ubaya wa ufaransa nasikia hakuna release clauses. Kwa hiyo mchezaji akitaka kuondoka,anamkataba na timu haitaki kumuuza hawezi ondoka hata alie machozi ya damu. Ndiyo kimetukuta kwa Verrati.
 
Nakumbuka Robinyo alipoiaga team yake na kudhihirika kuwa amejiunga Madrid, ndugu y(z)ake walitekwa ili robinyo naye apate machungu aliyowaachia mashabiki.

Kuna jambo moja ambalo ni dhahiri kabisa kuhusu wachezaji toka Brazil, usiweke imani kwao hata siku moja. (wakati wa mechi ya el clasico iliyofanyika USA hadi mtangazaji alionesha kushangaa imekuwaje Marcelo yupo Madrid kwa miaka kumi sasa. ) Hawa jamaa hawana cha kupoteza, in the name of money, they can do unthinkable.

Wale mabeki wa PSG tangu wakiwa kwao Brazil walikuwa ni Barca target, lakini wakachomoa wakafuata hela ufaransa. Dani alves alishakubaliana na man city lakini psg walipo-double salary akatokomea ufaransa

Neymar yeye ana pressure toka kwa baba yake na taifa kwa ujumla. Wabrazil wanajua kuwa kama watachukua kombe la dunia anytime soon ni mwakani, ili kufanikisha hilo, Neymar ni lazima atoke kwenye kile wanachokiita ni kivuli cha Messi, Little did they know that, Messi's shadow is everywhere.

Mimi ningeona concern ya Neymar ina mashiko kama angeenda hata Madrid au team yoyote kubwa EPL lakini league 1 ni kupoteza kipaji tu.

Modric aliwahi kuwaasa madogo wa Madrid wanaopigania number na kutaka kuondoka kuwa "sehemu yoyote mbali na Madrid is your downfall".
 
222,000,000 EUR = 588,400,334,159.74 TZS

Kwangu mimi Dembele na Hazard watakuwa safi zaidi kum replace Once Barca Legend Ney wa Mitego
 
Mkuu wacha kujifariji neymar ni habar nyengne mmpoteza mchezaji bora wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don Ballon (gazeti la michezo longtime ambalo makao makuu ni Barcelona)
Wamesisitiza Alez Sanchez arudishe Barcelona ili kuziba pengo la Neymar
Mtu kacheza barca mfumo umemshinda sasa sisi wa nini tunataka dyabala mimask basi
 
Wazee wazee Di Maria na Sanchez sitaki hata kuwasikia. Hukongoroka ghafla.Tutafute watu wa kwenda nao mda mrefu
Mkuu upo kwenye akili yangu kabisa hao washachoka misimu miwili neymar atakuwa anatamani maisha ya barca tena ambayo itakuwa keshachelewa
 
La liga wanazingua,wanamuweka Barca in a lose lose situation-sasa wanapinga kupokea hela ili Neymar arudi Barca??? Barca should take the money and plan ahead-hizi sagaz are doing our heads in
 
La liga wanazingua,wanamuweka Barca in a lose lose situation-sasa wanapinga kupokea hela ili Neymar arudi Barca??? Barca should take the money and plan ahead-hizi sagaz are doing our heads in
Nope, kama wamekataa hela, the only way to close the deal ni PSG kutoa wachezaji na hela.

It's a loophole!

Hawawezi kutupatia wachezaji tusiowataka. So the only choice they have ni kukubaliana na terms zetu. Now this is where Veratti comes to the spotlight.

- KANA -
 
Hii ndio chance ya barca kumchukua verrati.
 
Msifikiri LALIGA wanafurahia kuondoka kwa Neymar.Hakuna ligi inayofurahia kupoteza mastaa.

Lazima wahakikishe wanamaintain fanbase kubwa world wide. Lazima wahakikishe Barca inabenefit from the deal and LALIGA as a whole.

So I believe LALIGA is on our side.



- KANA -
 
Nauliza jamani, Laliga kukataa kuchukua ile pesa kunazui vipi kuondoka kwa Neymar maana yeye anadai anavunja mkataba wake na fc.barc? Au inamaana laliga wanaweza kumzuia mchezaji hasivunje mkataba wake na timu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza jamani, Laliga kukataa kuchukua ile pesa kunazui vipi kuondoka kwa Neymar maana yeye anadai anavunja mkataba wake na fc.barc? Au inamaana laliga wanaweza kumzuia mchezaji hasivunje mkataba wake na timu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Barca wanaweweseka,walipokuwa wanawataka kina fabregas,Henry now Courtinho walijiita Barca is more than a club,na haya maujinga ya kuweka release clause uangaliaji wangu wa Mpira zaidi ya miongo miwili nimekuwa nausikia sana kwenye mikataba ya kijinga ya Spain hasa Barca na Madrid na wamekuwa wakifanya hivyo kwa kuwatisha vilabu vingine,sasa this time wameingia choo cha kike wamekutana na bomba LA mafuta kama LA Hoima jamaa wanatoa pesa tu sasa barca wamedata.

Wanajaribu kutumia uhusiano wao wa kibaguzi wa waspain FA, ilihali uefa imesema FA haiwezi zuia kwasababu barca hawaja toa malalamiko rasmi.

Pia PSG wametumia umafia sio wa dunia hii kumbeba Neymar.

Na wamewakomesha sasa barca imekuwa timu ya kulia lia na sio tena waliokuwa wanajiita Mo than a club kwani kuna Dollar sign imewanyong'onyesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…