jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Barca tunaharibu,we are bigger then this-just let him go-Sisi Barca ktk ku pursue players before tumecheza foul nyingi sana.jackline1 wanachokifanya Laliga ni sawa kwa sababu wanatetea team zao za Spain soma hapa chini utanielea
1.Hadi sasa hivi hamna official negotiation ya contract ya Neymar kati ya Barca na PSG (imagine Neymar alivyotudharau supporters wake au sijui kama tumemfanyia kitu gani kibaya)
2. Neymar £222M ameingiziwa kwenye account yake na mwanasheria wake pamoja na kodi jumla ya £300 ili avunje contract yake na Barca aende kama free player PSG (hii maana yake PSG hawafungamani na Barca katika terms za makubaliano kwa aina yoyote ile hata zile options zakuwaingiza some playerz in exchange tupunguze demage walizofanya PSG hamna )
3.Laliga lengo lao PSG na Barca ndio wa negotiate i.e wakae meza moja -hii ina maana kubwa sana ndio maana hadi sasa hivi wanasema hawajui hela zimetoka wapi
Kumbuka duniani kuna changamoto za vilabu ambavyo vinapewa support na state na suala la money laundering
In short hela ya Neymar imetoka serikali ya Qatar, PSG kwenye financial statements zao hawana huo msuli
Huyo Angel maria,whatever his name is,ni sub standard sio Barca type-consistence yake ni suspect-it aint wise kumleta mchezaji,fans wamgeuke na kumzomea